Njia ya Msaliti ni fupi mno...huyu 'baka-baka' MSALITI, atajutia kuisaliti roho ya mageuzi kwa kulamba viatu vya wanaopora nchi na kumshibisha, hata kama wanamfadhili kwa kiwango gani!
MSALITI, Unatumia udhalimu wako pamoja na WATAWALA kubomoa jitihada na misingi ya Ukombozi iliyofikiwa na Vyama vya Mageuzi kwa tamaa ya kusimama 'juu ya wengine'?
Ole!...Misingi ya Ukombozi ukidhoofika na kushindwa kuing'oa CCM hapo Octoba 2015, sababu tu ya mwenendo wako na tamaa zako chafu za KISALITI, hata mawe yatapaaza sauti! Nchi ni zaidi ya tumbo, ni zaidi ya wewe kushiba....unakula anashiba, unapata choo, 'unaendesha' unasahau..ila usaliti hausahauliki...! Ni laana!
Hivi dj mbowe alisoma chuo kikuu kipi? Naomba kujuzwa wadungu
Usisahau kuwaelimisha watu uanopata nafasi ya kuongea nao wengi bado wako gizani kisha focus kwenye positive ideas zinazojenga mabadiliko.
Chama hiki husikii, uvumi wao kuwa labda "Olesendeka na filikunjombe wahamia ACT" au "jenister mhagama na kibajaji mbioni kutimkia ACT" wao habari zao ni kama kwenye uzi mmoja humu eti Nassari na Lema kuhamia ACT june. Wao wanachotamani ni usaliti tu. Mi nilidhani watamani wabunge wengi wa ccm waamke na wajiunge na ukombozi eti wanatamani wabunge wa upinzani. What kind of party is this?
Msaliti zitto baada ys kula hela ya wakubwa aiue CHADEMA ikashindikana wakampiga mkwara kuwa maisha yako yako hati hati ndo akaamua kujiokoa kwa kuendeleza ambition ya wakubwa ili walau hawapunguzie hasira.. By the way kutupiliwa mbali kwa kesi yake mahakamani ndo ilikuwa hatua ya kwanza kuchukuliwa na Magamba, sa asipofanikiwa kupitia ACT sijui tena hatima yake
Chama hiki husikii, uvumi wao kuwa labda "Olesendeka na filikunjombe wahamia ACT" au "jenister mhagama na kibajaji mbioni kutimkia ACT" wao habari zao ni kama kwenye uzi mmoja humu eti Nassari na Lema kuhamia ACT june. Wao wanachotamani ni usaliti tu. Mi nilidhani watamani wabunge wengi wa ccm waamke na wajiunge na ukombozi eti wanatamani wabunge wa upinzani. What kind of party is this?
Kwenye magezeti ya leo jamaa anasema anategemea kupata wabunge 50 kutoka CCM na CHADEMA.Hao wabunge wana hati miliki na majimbo yao,anatakiwa kusoma alama za nyakati.Kupata hao wajumbe hakumaanishi kwamba watarudi kuwa wabunge next time,itategemea na jinsi vyama husika vilivyojipanga.Na hata hao wabunge anaowatarajia nao wanasoma upepo kwanza.
Kama watanzania wataeleweshwa vizuri kazi ambayo mimi nimeianza leo, chama hiki hakitapata hata mbunge mmoja.
Kama zito unakubalika kisiasa kagombee ubunge chalinze au kagombee ilala tuone.
Mkuu punguza pressure,kama wewe huna imani na ACT wazalendo wapo wengi wenye iman nacho hiyo saccos yenu ya wachaga mpaka sasa ishabuma kwa sasa tumaini lipo ACT wazalendo na inaaminiwa na watanzania wengi
aisee jamani tumeshachoka sasa, zito mmefukuza kaondoka bado maneno hayaishi?
Hivi mfano umempa talaka mke wako alafu akaondoka ww uliyetoa talaka unalalamika tuu, mara oohh ulikuwa unanisaliti, maara oohh mwananmke gani wewe? Sasa talaka umeshatoa na mtalaka kaondoka wewe bado unalalamika nini?
Nyie chadema acheni upuuzi tumeshawachoka na kulialia kwenu haaa
Mkuu punguza pressure,kama wewe huna imani na ACT wazalendo wapo wengi wenye iman nacho hiyo saccos yenu ya wachaga mpaka sasa ishabuma kwa sasa tumaini lipo ACT wazalendo na inaaminiwa na watanzania wengi
Hakuna mtu atakyekujibu uhuo uharo wako, msaliti padre slaa aliyelelewa na ccm sa ivi na yeye anautaka URAHISI, au hujui hilo
hizo ni tabia za machagadema
Tuache utani yani mtu anaanzisha chama akiwa ndani ya chama halafu tumwache hilo halitawezekana ndani ya CHADEMA .
Niliwahi kusema miaka minne iliyopita, humu ndani ya JF, kuwa ipo sababu ya Zitto Zuberi Kabwe kuwa kibaraka wa CCM na TISS. Kipindi kile maongezi ya Zitto na TISS yalikuwa yamewekwa hadharani, kupitia gazeti la -----------.- Sijawahi ona kokote siasa inakofanywa mwanachama wa chama kimoja kwa wakati huohuo ni mwanzilishi wa chama kingine cha siasa, sijawahi.
- Sijawahi kuona mtu anajiunga na chama fulani baada ya siku tano anapewa uongozi mkuu wa chama hicho, sijawahi
- Sijawahi kuona popote siasa inapofanywa, mwenyekiti wa chama yupo chini ya mtu fulani. Yahani kikatiba kabisa kuna mtu yupo juu ya mwenyekiti, hii pia sijawahi kuona.
- Sijawahi kuona popote pale chama cha upinzani kukipinga chama cha upinzani na si chama tawala. AGAINST CHADEMA TANZANIA(ACT). Kwa maneno au hata vitendo. Chama kinafanya sherehe kikipata wafuasi wa upinzani kuliko wa chama tawala.
- Sijawahi kuona chama cha upinzani kinafadhiliwa na chama tawala kiuchumi na kimikakati. Tumefanya uzinduzi wa chama chako Zuberi kwa gharama kubwa sana, air time ITV, chakula, ukumbi expensive, na mbwembwe nyingi. Lakini mbona hujawahi kuchangisha pesa toka kwa wanachama wako? Kama kuna mtu anachangia ni nani huyo? Mtamlipaje baadae?
- Sijawahi ona chama cha upinzani popote pale siasa inapofanywa, wafuasi wake ni wale wanachama na wafuasi wa chama tawala. Le mutuz, laki si pesa, musa alani n.k, hii nayo sijawahi ona.
Kwa yote hayo juu Zuberi kwa nini nisikuite kwamba wewe ni msaliti halisi wa demokrasia hapa nchini. Kama kweli wewe siyo msaliti mbona hujawahi kujitokeza na kukataa zile namba za simu walizozitoa chama chako cha zamani kuwa zilitumika katika ufisadi? Mbona sijasikia kuikana ile akaunti ya benki wa yule dada kule ujerumani?
UKINIJIBU HAYO KWA UFASHA WEWE KWELI SI MSALITI.