TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Wanatapatapa, wanazidi kumjenga.
Refer to point number 3 in my previous post
ndiyo manapokosa malengo... CCM wamegawa chadema kwa kuanzisha ACT wewe hujuulizi kwa nini wafuasi wa CCM wakiamia ACT wapo kimya wanajua wanachokifanya.. nasikitikia chadema kwa kudhindwa kuona hili na kuongoza na matukio jambo ambalo sasa badala ya kufocus kwenye chana tawala vyama pinzani sasa wameaaza kutoelewana mwisho wa siku chama tawala kitabaki... upinzani mchezo mnaoucheza kocha ni yeye na mtoa maamuzi ni yeye.. uwanjani upinzani tumeishia kupigana vikumbo na kutupiana lawama huku mtawala akitoa maamuzi kupendelea upande wake ..... the game still continue .. acha tuendelee kutazama..... think big
NA wewe ni CHADEMA? Mwaka huu kazi mnayo.ACT mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. Jengeni chama chenu msitafute kiki kupitia chadema. Kujenga chama sio kazi ndogo muulizeni Hashim Rungwe au Dovutwa.
Tatizo lako unakimbelembele sana nani kamchafua?Wewe kama umemfuata Zitto ACT ukijua utapata shavu kama Afande Selle angalie usirudi tena huku ukimsingizia shettani.:juggle:Tangu zitto ahamie ACT na kukaribishwa kwa kishindo kikuu kumeibuka nguvu kubwa ya machadema kumchafua,kumuita majina yote mabaya na kuacha kazi yao ya msingi ya kukijenga chama chao cha kibaguzi na kilaghai.
Ni chadema hao hao waliomfukuza kwenye chama chao lakini hawajaridhika baada ya kujiunga na ACT. Kila siku hapa JF wafuasi wa chadema wanaanzisha thred lukuki zinazomhusu zitto huku wakimchafua..nyie mna roho za fisi mngetulia na chama chenu naye ajenge chama chake kipya.
MASWALI.
1.Je. mlitaka Zitto afe?
2.mlitaka asifanye siasa?
3.mnaitaka roho yake ndipo mridhike?
4.mnataka nini hasa kutoka kwake? mmesahau nini kwake?
5.mnataka arudi chadema??
hebu muwe na akili ya ziada mjiongeze tafadhali
Kipindi Kile CUF wakiitwa Mashoga , CCM B, ulikuwa bado hujazaliwa?
Ni upepo kwq ZITTO, utapita tu, kwa CHADEMA je? Kazeni buti, huyu kijana siyo mchezo.Ni upepo, kama sio pepo, litapita tu!
NA wewe ni CHADEMA? Mwaka huu kazi mnayo.
Hahaaaa, msumari umekuingiae, na bado. Hebu weka huo unaomkosoa ZITTO tuone, acheni kuweweseka, mlimfukuza mwenyewe.mods upuuzi kama huu wanauacha. ila andika post inayo mkosoa zitto uone
Tangu zitto ahamie ACT na kukaribishwa kwa kishindo kikuu kumeibuka nguvu kubwa ya machadema kumchafua,kumuita majina yote mabaya na kuacha kazi yao ya msingi ya kukijenga chama chao cha kibaguzi na kilaghai.
Ni chadema hao hao waliomfukuza kwenye chama chao lakini hawajaridhika baada ya kujiunga na ACT. Kila siku hapa JF wafuasi wa chadema wanaanzisha thred lukuki zinazomhusu zitto huku wakimchafua..nyie mna roho za fisi mngetulia na chama chenu naye ajenge chama chake kipya.
MASWALI.
1.Je. mlitaka Zitto afe?
2.mlitaka asifanye siasa?
3.mnaitaka roho yake ndipo mridhike?
4.mnataka nini hasa kutoka kwake? mmesahau nini kwake?
5.mnataka arudi chadema??
hebu muwe na akili ya ziada mjiongeze tafadhali
Tarehe ya kujiunga humu na idadi ya michango sidhani kama ni issue, tunaangalia mantiki ya hoja. Mwacheni ZITTO mlishamfukuza sasa maneno mengi juu yake ya nini? Msahauni , nenndeni mkatengeneze ilani ya uchaguzi mjiandae kwenda kuwadanganya wananchi la sivyo ACT wanaweza hata kuwapiku kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.Join Date : 12th December 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received: 0
Likes Given: 1
Huku ukijipambanua kwa kofia ya wasaliti!