Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

Nimemwona mh. Zitto katika Taarifa ya habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .

RAI
Huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa CHADEMA na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwanini yeye Zitto anaendelea kuinadi CHADEMA kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe Zitto kwani bado anaipenda CHADEMA kwani ACT-Tanzania imekosa mwelekeo.

Zile sare sio za CHADEMA, ni sare za MGAMBO na kwa upande wa kimataifa, zile ni sare za chama tawala cha SA, ANC
 
Hakuna kusamehewa mtu hapa, achape lapa huko alifikiri bila yeye chadema itakufa sahv anajikomba komba
 
Nilijua ameonewa!,na huko kwingne iptl mara escrow analo mwaka huu!
 
Hilo Vazi ni noumaaa,si mnaona hata maccm yame copy na kupaste?
 
...
.......ni vazi la taifa !!

image.jpg

kwani zitto kahama cdm lini? Acha majungu ww?
 
nimemwona mh. Zitto katika taarifa ya habari ya clouds tv kavalia magwanda ya people .

Rai
huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa chadema na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na act tanzania. Kwanini yeye zitto anaendelea kuinadi chadema kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe zitto kwani bado anaipenda chadema kwani act-tanzania imekosa mwelekeo.

kwani zitto kahama cdm lini? Acha majungu wewe?
 
nimemwona mh. Zitto katika taarifa ya habari ya clouds tv kavalia magwanda ya people .

Rai
huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa chadema na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na act tanzania. Kwanini yeye zitto anaendelea kuinadi chadema kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe zitto kwani bado anaipenda chadema kwani act-tanzania imekosa mwelekeo.

unauliza hivyo kwani unataka avae gauni la sisiemu?
Mh. Kabwe alisema kama unakumbukumbu alinena kuwa yeye ni cdm na ataisimamia cdm mwanzo mwisho na pia atakuwa ni wa mwisho katika cdm kurudisha kadi.
 
Sio yeye tu, huku kwetu Utete nawaona Mgambo wanatanua nayo hovyo mitaani.
 
hakuna kisichosameheka kama akikri kosa kwa uongoz wa juu i am sure chadema are very reasonable people tutampokea tu
 
Mbona hata Nape anavaa magwanda.. Though maana ya Magwanda ni ishara ya vuguvugu la wapenda mabadiliko.. Kwa hiyo hata ndani ya CCM kuna wapenda mabadiliko..
 
Back
Top Bottom