Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

MJITA HALISI 176

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
537
Reaction score
146
Nimemwona mh. Zitto katika Taarifa ya habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .

RAI
Huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa CHADEMA na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwanini yeye Zitto anaendelea kuinadi CHADEMA kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe Zitto kwani bado anaipenda CHADEMA kwani ACT-Tanzania imekosa mwelekeo.
 
Mkuu zitto alishasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA, huenda ndo anawalk the talks.
 
Nadhani keshalitambua hilo...Zitto ni mpima upepo mzuri, hawezi kukurupuka kutoka Chadema bila kupima upepo wake kisiasa unaelekea wapi!

Teh teh teh.....

Ina maana my. Nyepesi kawaingiza akina mwigmba & prof. Kitila mjini?

Act bdo wanamsubili kwa hamu...
 
Nimemwona my. Zito katika Taarifa ta habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .

RAI
Huyu mb anajipambanua waziwaZi kuwa ni mpinzani was chadema na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yeyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwa nini yy zito anaendelea kuinadi chadema kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi was juu umsamehe zito kwani bdo anaipenda cdm kwani act imekosa mwelekeo...!!

Magwanda ya Chadema ni yapi hayo?
 
Magwanda ya Chadema ndio yapi?
 
Nadhani keshalitambua hilo...Zitto ni mpima upepo mzuri, hawezi kukurupuka kutoka Chadema bila kupima upepo wake kisiasa unaelekea wapi!
Zitto is an opportunist, and always, an opportunist thinks only of himself!
Such people should not be trusted.
 
...
.......ni vazi la Taifa !!

IMAGE.jpg
 
Back
Top Bottom