MJITA HALISI 176
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 537
- 146
- Thread starter
- #61
Siku zito akihama cdm akumbuke kurudisha magwanda yetu.
Hivi lowassa havai gwanda? Akivaa ataweza kutembea kweli na Hali yake?sio hati miliki,alitaka atembee uchi?
Siku hizi uko huku? hivi unazungumziaje leo ukimwona shonza kavaa kombati za cdm?
Magwanda ya Chadema ni yapi hayo?
Pimbi kweli ninyi
hayo Magwanda ya Mgambo abayo hata Kambarage alikuwa akiyavaa yameshakuwa Miliki yenu?
Hebu muacheni ZZK
wqpo wanaovaa gwanda kama fashion tu
Je CDM mnahati miliki ya gwanda Hilo? Mbona waislam hawasemi kwanini mapadri wanavaa makanzu nao? Hawasemi ni vazi la kiislam?
Hilo ni vazi Kama yalivyo mavazi mengine!
Good! Kwanini yawe fashion leo na si jana au juzi? Naona sasa unazidi kusogea, usibadili uelekeo...njooo
Mgambo wa city nao vipi yale magwanda wanayovaa.
yy mama yako?Zito Ana laana kweli.
Wasaliti wenzie watimuliwa act Tanzania
Je CDM mnahati miliki ya gwanda Hilo? Mbona waislam hawasemi kwanini mapadri wanavaa makanzu nao? Hawasemi ni vazi la kiislam?
Hilo ni vazi Kama yalivyo mavazi mengine!
yy mama yako?
kuna mijita mingine punguani hasa
yana ndoto ya kutawala yenyewe
sasa mpaka 2025