Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

yale magwanda ndio neema yake , akiyavua tu kaisha ! Magwanda raha sana , halafu yanapendeza mno , Mchange kayang'ang'ania hataki kuyaacha !
 
Hata kwa nia mbaya aweza kuvaa magwanda kwa lengo la kuwahadaa baadhi wanachama wasiopambanua mbivu na mbichi ili siku atakapotangaza rasmi kuondoka CHADEMA afanikiwe kuondoka na hao wajinga wenzake wanaomhusudu.
 
Zitto ni kiungo cha mdalasini bila kiungo hiki wali hauitwi pilau
 
Chadema ni kama maji usipoyaoga utayanywa tu.

Najua hata ww gamba unayo magwanda ya people.
 
Mkuu we ni kiranja humu wa kukagua magamba na magwanda? Mi ni mwanachama wa NSSF tu, ila sioni ni kwanini wewe uhoji wenzio kwa kuvaa Gwanda!
 
Tumia akili kama we we ni mwanaxhama wa nssf kwa nn unakurupuka kujibu thread ya siasa? Hivi unajua mazingira yaliyopo Kati ya huyo mmeo nyepesi na chama chake cha people.

Si anajipambanua siku hizi kama mpinzani was cdm. Kwa nn avalie mavazi yake?
 
And who are you to decide for me where to put my comment then!?
 
...
.......ni vazi la Taifa !!

IMAGE.jpg
Mkuu asante kwa picha .
 
Unataka kusema Mzito Kabwela ni CCM?

100% 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom