Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

Ndiyo tunapotezwa hivi. Tunashindwa kuangalia mambo muhimu kama milioni 400 inayoibiwa kila siku na PAP tunaishia kujadili nguo anazovaa Zitto.

Unatumia nguvu nyingi kumjibu huyo troll, ndio akili ndogo tunazoambiwa kila siku achana nae mbulumbudu asikuharibie siku.
 
huyu zito asamehewe tuwalipue rasmi ccm

ZITO ALISHASEMA KUNA WATU WANAMFITINI ila kwa maoni yangu binafsi wanapaswa kusameheana wasonge mbele kama CDM leo wanafanya kazi na CUF wakati huko nyuma ilishindikana ni wakati sasa CDM kukubaliana na na viongozi iliyowafukuza na kufungua ukurasa MPYA angalizo tu ni kuwa wenye tabia zenye mashaka wajirekebishe
 
Nimemwona mh. Zitto katika Taarifa ya habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .

RAI
Huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa CHADEMA na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwanini yeye Zitto anaendelea kuinadi CHADEMA kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe Zitto kwani bado anaipenda CHADEMA kwani ACT-Tanzania imekosa mwelekeo.
Kwani wewe ndio Chadema! Mwenye chadema yake yuko kimyaa wewe unawashwa nini?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Nimemwona mh. Zitto katika Taarifa ya habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .

RAI
Huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa CHADEMA na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwanini yeye Zitto anaendelea kuinadi CHADEMA kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe Zitto kwani bado anaipenda CHADEMA kwani ACT-Tanzania imekosa mwelekeo.

Zitto is too optimistic! Mtoto mdogo keshaota nyama za uzee kibao!
 
Last edited by a moderator:
Ni mavazi tu, kama hana mavazi mengine je, mwacheni asitiri makalio yake na nguo za cdm. KURUDI LABDA KAMA KUTAKUWA NA VYAMA VINGI MBINGUNI, just thinking aloud
 
1415781502659.jpg
Kamanda wengine hawa hapa wamevaa Magwanda yenu
 
Salama ya Zitto kisiasa ni kubaki Chadema kwa gharama yoyote ile,hata ikibidi kuwaangukia kina Mbowe,Slaa na wazee wa kile chama,wakati kwa kufanya atakuwa kama anajiadhiri lakini utakuwa ni mwanzo mpya wa nyota yake kung'ara kisiasa.Kwa sisi wengine tunaojua uasi alioufanya ndani ya chama chake,tunaona yote anayoyafanya sasa hata huko kwenye kamati yao ya PAC ni kama michezo ya kuigiza tu,tunaona kawekwa pale strategically kwa ajili kupatia mirage ya kisiasa ndani ya jamii za watanzania wasio makini (kwa malengo ambayo ni yeye tu na Kikwete wanayajua).
 
Nimemwona mh. Zitto katika Taarifa ya habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .

RAI
Huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa CHADEMA na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwanini yeye Zitto anaendelea kuinadi CHADEMA kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe Zitto kwani bado anaipenda CHADEMA kwani ACT-Tanzania imekosa mwelekeo.

Wewe unataka avae magunia?acha ujinga bhana!
 
unauliza hivyo kwani unataka avae gauni la sisiemu?
Mh. Kabwe alisema kama unakumbukumbu alinena kuwa yeye ni cdm na ataisimamia cdm mwanzo mwisho na pia atakuwa ni wa mwisho katika cdm kurudisha kadi.

Bado yuko Chadema mpaka ahakikishe amefunga milango yote iliyosahaulika kufungwa.
 
Bado yuko Chadema mpaka ahakikishe amefunga milango yote iliyosahaulika kufungwa.

TUKUULIZE WEWE KABWELA.. ni mlango upi KABWE alioweza kuufunga japo mmoja tu. alafu piga picha ALIYETUPWA NJE KAMA MZOGA NINANIII? KAMA SIYO HUYO BWA WAKO KABWE? anapumulia mashine tu kwa sasa na CDM sio kama CCM. CDM NI DIGITAL na CCM ni ANNA...... malizia mwenyewe
 
Mtoto kwa baba ni mtoto tuu. Tulichokifanya tulisimamia nidhamu tuu.
 
Back
Top Bottom