Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

Kwanini Zitto Kabwe bado anavaa magwanda ya CHADEMA?

1415733946378.jpg

Tofaouti ya hilo vazi unalosema ni gwanda la chadema na hili alilovaa Nape ni rangi tu wala yasikuumize kichwa
 
Nadhani keshalitambua hilo...Zitto ni mpima upepo mzuri, hawezi kukurupuka kutoka Chadema bila kupima upepo wake kisiasa unaelekea wapi!

Kama kipindi kile alipotaka kugombea ubunge jimbo lolote Tz, alipo soma upepo........
 
Magwanda ya Chadema Zitto ndio aliyabuni. Chadema ndio inatakiwa muache kuyavaa. Tafuteni yenu
 
Nimemwona mh. Zitto katika Taarifa ya habari ya clouds TV kavalia magwanda ya people .

RAI
Huyu mbunge anajipambanua waziwazi kuwa ni mpinzani wa CHADEMA na wapambe wake wakijinadi kuwa siku yoyote atajiunga na ACT Tanzania. Kwanini yeye Zitto anaendelea kuinadi CHADEMA kwa kuvalia magwanda?

Nawashauri uongozi wa juu umsamehe Zitto kwani bado anaipenda CHADEMA kwani ACT-Tanzania imekosa mwelekeo.
Zitto is a swinging tree-monkey he can not leave the first one without having the next one in line, au unataka aangukie mgongo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom