Kwanini Yesu hakuwahi kuombea Mgonjwa?

Kwanini Yesu hakuwahi kuombea Mgonjwa?

Majibu ya AI hayo, hana huo uwezo wa kujenga hoja za aina hiyo maana hata hiyo lugha haijui, nakuwekea ushahidi kabisa uone alivyo jisahau kwenye comment yake fulani hivi, baadae nilipomshtukia akarudi kwenda ku-edit haraka.

Kasome comment yake #44 halafu linganisha na hii picha, utagundua marekebisho aliyo yafanya.
Hahaha kumbe?
 
Hahaha kumbe jamaa hamna kitu
Hahaha inawezekana, binafsi kani-surprise pia, jinsi I'd yake ilivyo, sikutegemea kabisa kama atakuwa anategemea majibu ya AI kufanya mjadala.

Sasa ndio nimeelewa, kuna sehemu jamaa aliniambia huu mjadala tunaweza kumaliza week nzima tunabishana tu, kumbe mwenzangu alikuwa na usaidizi, anafanya kucopy na kupaste tu.
 
Ukisoma hivyo Biblia unaweza changanyikiwa.
Mbona nimesoma na sijachanganyikiwa?

Acheni longolongo jibuni maswali.

Tuchukue maneno ya nani yesu mwenyewe anayesema yeye mtu au watu kama wewe wanaosema ni Mungu?

Wewe na Marcostilone hamjajibu ili swali.

Mnarukaruka na kukimbiakimbia tu na kujibanza kwenye kichaka cha biblia haisomwi kama hivyo.
 
Sawa.
 
Majibu ya AI hayo, hana huo uwezo wa kujenga hoja za aina hiyo maana hata hiyo lugha haijui, nakuwekea ushahidi kabisa uone alivyo jisahau kwenye comment yake fulani hivi, baadae nilipomshtukia akarudi kwenda ku-edit haraka.

Kasome comment yake #44 halafu linganisha na hii picha, utagundua marekebisho aliyo yafanya.
Daaaah humu ndani hakuishiwi vituko 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Daaaah humu ndani hakuishiwi vituko 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 Yes, mimi nilimtahadharisha mapema kuwa tufanye mjadala kwa kutumia akili zetu tulizo jaaliwa, akadai yeye ni free mind, hawezi copy sehemu, sasa nimeona niuweke kabisa ushahidi wa free mind yake, ili isije kuonekana nazungumza jambo ambalo sina uhakika nalo.
 
Twinie 🤣🤣🤣
 
Naona mjadala umehamia kwingine.
Point yangu ni Yesu alikuja kuonyesha mfano au ni kama shamba darasa la mtu anayetembea akiwa ameungana na Baba wa Mbinguni.

Ndio maana akasema sisi tutafanya zaidi ya aliyofanya. Kwa nini sisi tuombee wagonjwa au mapepo badala ya kufanya kama yeye. Au project yake ilifeli?
 
Huu ni mtazamo........
Kwanza kabisa nini kinakujulisha kama yesu alikua hakemei au afumbi macho??, biblia yako ina onesha video??, au inatoa sauti za wahusika...??, achana nayo twende kwenye maandiko injili ya yohana 21:25 anasema, hata dunia isingetosha kama aliyoyafanya yesu wakisema yaandikwe, Sasa hapo manake nini, kuna baadhi ya matukio yameachwa hayakuandikwa!!!!, unakubali???, Sasa kama ni Ivo vipi kama hiko unachokihoji ni baadhi ya matukio ambayo hayakusimuliwa??.
Lakini pia kwenye hio injili ya yohana zile sura 14, 15, 16, 17... Mazungumzo ya mwisho kabla yesu hajashikwa na watesi, aliwaambia wanafunzi wake, bado ningali Nina mengi ya kuwaambia ila hamuezi kustahimili kwa sasa, ila atapokuja huyo msaidizi atawafundisha yote. Ambae hapa alikua anazungumziwa roho mtakatifu..., Sasa hoja nini??,
Hatuezi kutengeneza argument kisa baadhi ya matukio hayakuandikwa kwenye biblia, au hayakuonekana sababu tayari kuna ahadi ya mwalimu, Ambae kazi yake kukufundisha yale amabayo bado hujafundishwa, Ambae yesu kristo anamwita roho mtakatifu Ambae ataishi ndani yako.., Sasa ukimpata huyu uwezi kuuliza tena kutegemea maoni ya watu Bali atakua kama table teacher.
 
Back
Top Bottom