kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Acha uchawi,kama una damu ya Kitanzania,we ni Mtanzania,bila kujali makaratasi yanasemaje,Cha msingi hiyo kazi uliyo nayo unaifanya kwa ujuzi na weredi unaotakiwa?Naomba kuuliza Watanzania wenzangu, kuna watu nawafahamu tulisoma nao nje wazazi wao wakiwa ni raia wa Tanzania. Lakini baada ya kukaa kwa muda walibadili uraia wakapata uraia wa kigeni na wakawa wakija nchini Tanzania wanakuja kama wageni...
Hao wahindi wenye vibali wanafanya serikalini?Sheria haikatazi kuwaajiri unaowasema. Kinachotakiwa ni kupata vibali. mbona kuna wahindi wamarekani, waiongereza, n.k. wanafanya kazi Tanzania kwa vibali? Mbona kuna Watanzania maelfu wanafanya kazxi USA, Australia, Uingereza, n.k. bila kuwa raia wa nchi hizo?
wewe unawezakuwa unachanganya uraia na "permanent residency". Nawajuwa watanzania wanaofanya kazi USA kwa miaka mingi, lakini siyo raia wa huko. Hao huwa wana permanent residency na sdiyo muraia. Wanaposafiri hutumia passport ya TZ.
LAKINI NAONA UNASUMBULIWA NA KAWIVU!
Umevurugwa, siyo mahalapake kwasababu ganimifugo, wizara ya madini, TANROADs na TPA lakini siyo mahala pake. Naomba tu kujua sheria inawawajibisha vipi Hawa