Kuna haja ya kuangalia upya sera ya uraia wa Watanzania

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kuna mambo yanayofanyika kwenye hii nchi mpaka unajiuliza kweli hawa watu ni watanzania kamili au wahamiaji

Hasa idara ya ulinzi na usalama na utumishi wa umma kuna vitu havipo sawa hata kidogo,na hiki kinaweza kikawa kinasababishwa na wahamiaji waliojipenyeza na kujiita watanzania

Sasa hivi ni kosa la jinai polisi afahamu raia anamiliki pesa ndefu,wanakunyang'anya na ukifuatilia unauawa,unajiuliza hivi hawa ni watanzania kweli?

Sasa hivi hatuaminiani vijiweni,hupaswi kuzungumza mambo hadharani yanayohusu nchi yako,utapotezwa ghafla,

Wala rushwa wamekithiri kila kona,kila mradi unapigwa,kila mradi lazima upigwe

Amini usiamini kuna shida kwenye uraia wa watu hawa

Nchi pekee ambayo ni rahisi sana kupenya na kuishi na watoto wako wakapewa vyeo kwenye vyama vya siasa hasa ccm na wengine kuwa viongozi na wengine kuajiriwa na serikali ya Tanzania,cha msingi unga mkono chama cha ccm kila idara utaingia kiulani sana

Amini usiamini kuna watu wapo kwenye idara za usalama ,ulinzi na usalama,ila uraia wao una utata kwa sababu ni makada huwezi kuhoji na ndo maana mambo yanafanyika ovyo ovyo kwa sababu si raia wa Tanzania kwa uchunguzi wa ndani zaidi

Ni Tanzania pekee mhamiaji anaweza akapata kitambulisho cha Taifa NIDA au,cheti cha kuzaliwa na kadi ya kupigia kura na ajira,na elimu ya juu wanapata mikopa kirahisi sana,kama huamini jaribu Kenya uone,

Wakati nikiwa chuo kikuu kuna jamaa kila likizo lazima aende Kisii Kenya,nikaanza kumfuatilia kama huyu mtu ni Mtanzania,kwa ukaribu wangu kwake aliniambia kuwa yeye ni mkenya ila amesomea Tanzania kuanzia darasa la sita,na akapata mkopo,nikataka kumfuatilia kwenye Vyombo vya dola nikagonga mwamba nikasalenda

Chunguza kuna warundi,wakongo,wanyarwanda na wakenya wengi kwenye idara za serikali halafu tutegemee uzalendo kwenye hii nchi

Mbona nchini Kenya ukikosea tu mpaka ukaingia Kenya siku hiyo hiyo upo mahakamani na siku hiyo hiyo unapigwa kifungo kisichopungua miezi 9.

Tanzania ni lazima tuangalie uraia upya,tuna wahamiaji kibao kwenye nchi na serikalini
 
Kuna mnyarwanda kwao ni Rwanda ila alisomea English medium moja iko Karagwe, Kagera mpaka darasa la saba. Alipofaulu akapelekwa Tarime form one mpaka four.

Alipofaulu, form 4, akapelekwa advance Ihungo Bukoba.

Katoka Ihungo, akaenda UDSM Kama MTZ na mkopo 100%.

Nchi hii imeshakufa kila sekta.

Kila taasisi, kila sekta, kila kiongozi akoli zao zote ni kulinda Rais na CCM kwingine kote kuko UCHI CHWIIIII.

Wewe join CCM, sifia Rais piga nchi haina mwelekeo kabisa.
 
Idara. Ifanye kazi, shida ni recruitment zao nawaswasi sana sijui wanabebaje watu.
 
Pana Ofisa Uhamiaji baadhi ukiwaangalia tu unajua hawa sio Watanzania ila subiri maswali yao watakavyowasumbua vijana kuwapa Passport hawana uzalendo kabisa zaidi ya kutaka Rushwa hata hili mimi niliwahi fikiria siku moja...
 
Kuna mnyarwanda kwao ni Rwanda ila alisomea English medium moja iko Karagwe, Kagera mpaka darasa la saba. Alipofaulu akapelekwa Tarime form one mpaka four.

Alipofaulu, form 4, akapelekwa advance Ihungo Bukoba.

Katoka Ihungo, akaenda UDSM Kama MTZ na mkopo 100%.

Nchi hii imeshakufa kila sekta.

Kila taasisi, kila sekta, kila kiongozi akoli zao zote ni kulinda Rais na CCM kwingine kote kuko UCHI CHWIIIII.

Wewe join CCM, sifia Rais piga nchi haina mwelekeo kabisa.
Yaani tuliopo mipakani ndo tunajua hii nchi ipo uchi saaana,nchi zingine zipo serious sana na uhamiaji ila Tanzania hamna kitu,wakenya wamejazana humu kibao,na ukitaka usifuatiliwe kuwa mfuasi kindakindaki wa ccm, wakurya wanaenda Kenya wanachukua familia za huko na kuzileta Tanzania zinaishi bila shida kama watanzania, jaribu Kenya uone cha moto
 
Huku kahama warundi na wanyarwanda washapageuza Bujumbura na kigari
Mimi mpaka roho inaniuma kiukweli ,hapo kahama hapo KAHAMA hapo siku kikinuka shida itakua imesukwa hapo kuna watu hawaeleweki kabisa kabisa ila watu wanaohusika wako kimnya,kuna askari mmoja ukimuangalia tu ni Mchigali pure ila ukimuuliza kwao kahama,mwingine alisoma kilimo ma mifugo ni mchigali pure sasa hivi kaajiriwa bwana mifugo sijui tunaenda wapi ila sijajua kwanini hawa "WATU"wamepachagua kahama kuwa kitovu chao
 
Kwa hali hii tusitegemee nchi hii kuwa na uzalendo hata kidogo, idara zote za serikalini wahamiaji wamo kibao , serikali kuu na serikali za mitaa
 
Kama wahusika wa idara nyeti wapo humu nashauri kesho waanzie kahama nna uhakika watakayokutana nayo yanatisha.Nchi inavuliwa nguo pale kahama
Hao wahusika wako kila mahali, hata humu hawakosi. Ila kujituma Sasa (pro-active) ndo tatizo
 
Kama wahusika wa idara nyeti wapo humu nashauri kesho waanzie kahama nna uhakika watakayokutana nayo yanatisha.Nchi inavuliwa nguo pale kahama
Siyo kwamba hawajui.

Mimi nimeona magodown ya Wa hina, wahindi na wasomali Dar es Salaam. Yamejaa wahamiaji haramu, wahindi, wachina wapakistani, wasomali na wahindi hawana hata vibali vya kuishi. Wanakaa ndani na kutoka usiku tu.

Uhamiaji wanajua, wanachofanya ni kwenda kuchukua Mafungu ya Pesa na kuondoka.
 
Ni weusi wenzetu Haina shida.

Ila kuna tatizo hapo kwenye police kupora watu pesa. Usifanye urafiki na polisi hawafai hawafai akijua hata una milioni 50 tu unalo
 
Niliwahi kusema humu watu wakanibeza.

Dar: Wahamiaji haramu wamejaa sana kuna shida gani na vyombo vyetu?

Hii nchi imeshakua na matobo mengi sana, Kahama ni mfano tu wa kitalu kilicho vamiwa na Warundi na wa Nyarwanda wameigeuza Rwanda na Burundi, na hao watatawanyika maeneo mengine. Ukienda Rwanda watu wanaulizia Kahama tu, fikiria kuna nini nyuma yake,?

Kila mkoa ulio pakana na nchi jirani ni matatizo matupu yamejaa huko, Viongozi wamekazana na maokoto tu ila kudhibiti mipaka uhamiaji hakuna anaekumbuka. Nchi inavuliwa nguo na raia wa kigeni

Dar: Wahamiaji haramu wamejaa sana ...ana-kuna-shida-gani-na-vyombo-vyetu?.2145583/
 
Hii habari ni nzito,hivi kweli Serikali yetu haitambui hilo?Hii inaweza hatarisha usalama wa nchi yetu.Mi naomba serikali walione ili na walifuatilie kwa ukaribu.
 
Back
Top Bottom