Hapana sio lazima uumwe sana wengi wameondoka na uzima waoAise basis sawa! Ni kwa nini hadi uumwe saaaaana ndio ufariki? ( najua kuna wachache wanafariki gafla usingizini nk) kama death is such a wonderful experience.????
Mhhhhh.... Hiyo death meditation unaweza practise alafu ukafa jumla[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji780] kama ndivyo MTU akijichokea maisha yake anaweza make it real na akafa kweli? Ila usijepractise ukapenda kuendelea kufa tutakumiss mnoo[emoji3] [emoji3] [emoji120] .Hapana sio lazima uumwe sana wengi wameondoka na uzima wao
Ugonjwa ni kiashiria cha kifo kwakuwa huleta ubovu mwilini
[emoji15] [emoji23] [emoji23] hapana death meditation is a very powerful tool na ni wachache mno wanaoiwezaMhhhhh.... Hiyo death meditation unaweza practise alafu ukafa jumla[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji780] kama ndivyo MTU akijichokea maisha yake anaweza make it real na akafa kweli? Ila usijepractise ukapenda kuendelea kufa tutakumiss mnoo[emoji3] [emoji3] [emoji120] .
Haya bwana mshana.[emoji15] [emoji23] [emoji23] hapana death meditation is a very powerful tool na ni wachache mno wanaoiweza
Hii huambatana na uwezo wa kukaa si chini ya dakika tano bila kupumua, wengine hukaa mpaka nusu saa kuna post nitaeleza kwa kina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kufa kunoga dadawacha kunilisha tongo pori [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi nmewahi kuexperience ,vile kama pumzi inakata....
kwanza mawasiliano yanakata unasikia kimya... halafu unaanza kuona ndo basi tena ,kile kitendo cha kuona ndo basi kibaya usisikie...
halafu unaanza kuota vitu vya ajabu unamfata mtu unamuita haitiki, unaongea na watu wanaendelea na mambo yao.
unalia mno[emoji22]
hapo sikufa ,nilionja ⅓ yani nilionja kama punje ya choroko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kufa kubaya sana
kaka mshana sitaki kuamini
Weirdo!Very very wonderful experience, yani mtu unaweza kutamani kuendelea kufa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30][emoji15] [emoji23] [emoji23] hapana death meditation is a very powerful tool na ni wachache mno wanaoiweza
Hii huambatana na uwezo wa kukaa si chini ya dakika tano bila kupumua, wengine hukaa mpaka nusu saa kuna post nitaeleza kwa kina
Uko sahihi nafikiri watu wanaogopa ile process ya kufa yaan unavyopitia zile 5 stages of guilty pale ndo balaa [emoji30] [emoji30] [emoji30]Ni kweli kuna members wamesema kuwa kifo ni kama unapochomwa sindano ya nusu kaputi, huelewi, huhisi, wala husikii chochote kinachoendelea duniani.
Jinsi unavyoshonwa na nyuzi ikiwa unafanyiwa operation, jinsi unavyogeuzwa geuzwa. Mara umehamishwa toka wodi fulani mpaka fulani, mara umechomwa sindano whether wanakuongezea maji/damu hapo hakuna chochote unachohisi ndivyo kifo kilivyo.
Hutahisi chochote, tunachoogopa ni maumivu na hofu kabla hatujafikia moment hiyo ya kutosikia,kuhisi na kuona chochote.
Ndio maana Wakristo wengine tunaamini wafu hawajui neno lolote.
Ndio, wapo watu ambao walilifika Mbinguni na wamaenjoy bila kujua ladha ya KIFO au UMAUTIUmejibu vyema kulingana na imani yako, sikuwahi kuwaza kwamba kuna watu hawatoonja mauti
Well,Naomba ufafanuzi kidogo unaposema kuelekea mbinguni. Huko mbinguni ni wapi?????
Okay...nafikiri nimeconfuse Elia na Elisha.Henoko na Eliya pana tofauti ya miaka elfu kadhaa utakuwa umekosea