Kwanini wazazi wa Makonda wasijitokeze hadharani ili kuthibitisha jina halisi la mtoto wao?

ACHA UMBEA AKIENDA AKUAGE WEWE NANI ANAKWENDA SANA TU ….ni wivu tu achene hizo hayo mambo mbona wengi wamepitia hiyo route na leo wametoka na wengine na PHD kabisa na wengine mawaziri muacheni kijana wa watu Mh achape kazi
 
Mpumbavu hutetewa wa wapumbavu
Wazazi wa makonda ni watu wenyeuelewa mpana hawana ujingaujinga wa kujionesha wala kuingilia maisha ya mwanao ambae amesha zidi 18yrs

Labda uwalete wazazi wako na ujuha wenu kwenu


State agent
 
Back
Top Bottom