Kwanini Wazanzibar wanafanana majina????????

Kwanini Wazanzibar wanafanana majina????????

Well said Angel Nylon....hujanipasha urojo ilikuaje juzi pale mlandege

Siku izi kuna wapishi wa urojo shogaangu sina la kukueleza. Kuna apa michenzani roundabout mwanzoni mix yao tam sana na mishkaki laaaiiniii utasema home made.

Mlandege wapi, pale karibu na kwality supermarket?
 
Last edited by a moderator:
Siku izi kuna wapishi wa urojo shogaangu sina la kukueleza. Kuna apa michenzani roundabout mwanzoni mix yao tam sana na mishkaki laaaiiniii utasema home made.

Mlandege wapi, pale karibu na kwality supermarket?

Yeah pale karibu na ofisi ya emmirates...ah usintamanishe urojo mwenzio utaniua maana utanifanya nkaanze kuupika saa hizi..
 
Yeah pale karibu na ofisi ya emmirates...ah usintamanishe urojo mwenzio utaniua maana utanifanya nkaanze kuupika saa hizi..

He he heeeh, wa kupika nyumbani sasa hata haunogi. Kwanza ukitaka mix yote si utachoka uko kupika. Labda upike wa kujidanganya tu. Pole sana shost
 
Hahaahaha shosti yake tunatengeneza na haliudi tunaweka kwenye mrash kwenye maulid pale kwenye kiyam(kusimama kumsalia mtume) unamwagiwa kichwani..

Nayajua sana, pamoja na ark rose. Lkn ya karafuu ndo yanotupatia umaarufu wazenji.

Lkn wapiiiiiii, zamani sio leo. Zamani ukishuka bandarini tu unakaribishwa na harufu ya karafuu. Sikuizi zi wapi? Eti tunanunua kwenye vipakti kama watalii.
 
Nayajua sana, pamoja na ark rose. Lkn ya karafuu ndo yanotupatia umaarufu wazenji.

Lkn wapiiiiiii, zamani sio leo. Zamani ukishuka bandarini tu unakaribishwa na harufu ya karafuu. Sikuizi zi wapi? Eti tunanunua kwenye vipakti kama watalii.

Hatunufaiki na chochote.
 
Hao watani zangu nao majina yalishawaishia...utasikia Bhoke Mdogo; Chacha mkubwa...familia moja kuna Bhoke kibao, Chacha wa kumwaga...Mwita ndio usiseme.

Mkuu sio Zenji pekee...

Kure kwetu kure kuna akina

- Mwita Chacha Marwa wengi mno....

- Robhi Ryobha Wankuru n.k

Hebu jaribu kuchunguza hata katika kabila lenu pia kuna majina ambayo yanajirudia rudia mengi tu.

Wakati tunasoma kuna watu walilazima kubadili ubini kwa sababu ya kufanana majina matatu kwa watu watatu tofauti.

1. Mwita Chacha Wambura

2. Mwita Chacha Wambura

3. Mwita Chacha Wambura

Hapo unakuta ni watu watatu tofauti!!!
 
Hao watani zangu nao majina yalishawaishia...utasikia Bhoke Mdogo; Chacha mkubwa...familia moja kuna Bhoke kibao, Chacha wa kumwaga...Mwita ndio usiseme.

Sio kuishiwa majina ni majina ya urithi... Ndo maana yanajirudia!!!
 
Wadau nimelazimika kuuliza hili swala kwasababu ni zaidi ya mara tatu nakutana na Wazanzibar wasiofahamiana ila wanafanana majina tena majina matatu, nina rafiki yangu wa Mtandaoni yeye yupo Zanzibar tulikutana mitandaoni enzi hizo za Secondary School tukiwa tunasaka marafiki kwenye Mitandao, huwa ananisaidia sana kunipa Kampani, ninapokwenda Kikazi Zanzibar namimi huwa nafanya hivyo hivyo anapokuja Dar.

Nitatumia majina yasiyo harisi kuepuka usumbufu, Huyu rafiki yangu anaitwa Arafa Suleiman Husein, siku moja nikiwa nafanya kiproject flani kilichoni nilazimu kutafuta vibarua watatu kwa ajiri ya kukusanya taarifa, nikajikuta nina kibarua mmoja anaitwa Arafa Suleiman Husein na hata nilipowakutanisha na rafiki yangu ni kwamba hakuna anayemfaham mwenzake, nikiwa huko huko Zanzibar nikakutana na Jamaa aitwaye Hamad Hassan Makame, hili jina lilinikumbusha jamaa mmoja Mzanzibar nimesoma naye Kozi moja mwaka 2007 aitwaye Hamad Hassan Makame, nilipouliza kama anamfaham nayeye akawa anashangaa tu.

Kitu kilichonifanya niandike hii thread, ni kwamba pale Tanga nimekutana na mtu mwingine ambaye anakuwa ni watatu sasa kufanana jina na rafiki yangu yaani anaitwa Arafa Suleiman Husein, na hata hafahamiani na rafiki yangu Arafa Suleiman Husein aishiye Zanzibar,naye huyu pia ni Mzanzibar lakini maisha yake kwasasa anayaendeshea Tanga.

Sasa wadau naombeni kujua ni kwanini hawa ndugu zetu wanafanana sana majina? Nauliza hivyo kwasababu kwa huku Bara ni vigumu sana kuwakuta watu wanafanana majina tena majina yote matatu.

ukweli hao jamaa na wavivu sana hata kufikiri jina la kumpa mtoto ni tabu kwao.:A S 39:
 
Yani hapo ina kuwa hivi..... Wewe kama baba wa kipemba, kwa kawaida mpemba kama mpemba huwa hana watoto wachache,mara nyingi huwa na watoto wengi sana hata kumi na saba au zaidi,hao watoto kumi na saba hapo nikutoka kwa wake wawili tu ambao huyu mwanaume ndo anaishi nao pale nyumbani. Hapohapo huyu huyu mwanaume ana wake wengine wawili nje ambao hawajuani na hapo kila mwanamke utakuta ana watoto watano ambao ukichukua na wale kumi na saba utapata jumla ya watoto kama ishirini na saba,watoto wote hao alafu sasa mtoa jina ndo huyo mzee wa kizenj mwenye watoto wote hao, hapo ndo utakuta anarudiarudia majina kwa watoto zake bila kujua na hapo ndo utakuta watoto wanafanana mpaka majina ya babu zao. Cha kufahamu hapo ujue hao ni ndugu ambao hawafahamiani ila anawafahamu pekee ni baba yao. Sasa kama wewe hao ambao ulikutana nao ungewaambia wakuoneshe baba zao ungelikuta wanakuuoneshea baba yao huyohuyo mmoja ila walikuwa hawajuani. Tena Sometime huwa wanaoana ndugu wenyewe kwa wenyewe......................
Sasa nimeanza kuelewa, thanks!!!
 
Back
Top Bottom