Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Wadau nimeona niulize swali hili,

Kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani.

Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji.

Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti Semitic gesture).

Baada ya kuona wanabaguliwa, Marekani waliapa kuwalinda popote walipo duniani.

Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?

Wayahudi wanachukiwa kwa sababu na wao wanawachukia wanaowachia.

Inasemekana asili ya kuchukiwa imekuja baada ya kulaaniwa na 'Mungu' kwa kumuua Yesu msalabani.

Wayahudi WALIJILAANI wao wenyewe siku walipomuua Yesu. Ushahidi wa KUJILAANI upo katika Injili ya Mathayo 27:25 ambapo inasomeka "Watu wote wakasema, "Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!" Haya manene waliyatamka baada ya Pilato kunawa mikono na kujiondolea hatia ya kumhukumu Yesu. Kinywa huumba, hivyo huenda hio 'chuki' kama kweli ipo basi inatokana na kauli hiyo ambayo alijilaani wao na uzao wao!
 
Naomba niwafahamishe naona watu wanakurupukia Kuran na kutoa contradictions kwa wanasayansi hizo sio contradictions ni Contradistinctions. Ni mada ndefu lakini nitawaelimisha na wale wenye elimu watkubalina na hili. kauli zile zote ziko sawa kwa ufupi(1) imekuja kugundulika hivi kalibuli kwamba components zote zilizopo ndani ya mwili wa binadamu zinapatikana kwenye soils which concludes binadamu alitokana na udongo/Vumbi arabic word used in the same. (2) Imekuja kugundulika kuwa ndani ya cell ya binadamu kuna cytoplsam ambayo 70% made of water without it no life (3) binadamu kaumbwa kutokana na tone la damu hii sieelezi zaidi kwani wataalamu wote wa cells wamekubalina nalo (4) binadamu katoka kusikojulina ni arabic context haimaniishi hivyo ila ni tatizo la translations nitafute nikuelimishe...

Mkuu unatufanya kama watoto. Mimi naamini Mungu aliumba binadam katika hali ya miujiza, habari ya kusema eti alichukua damu, akachukua maji, akachukua sperm ni utata mtupu. Hiyo damu aliitoa wapi?, hiyo sperm aliitoa wapi?. Hizi ni evidence kuwa QURAN ni man made, yaani makanjanja waliona kuwa mtu ana mabonge ya damu wakasema Mungu kaumba kwa mambonge ya damu, wakaona mtu anatoka jasho, wakasema kaumbwa kwa maji, wakaona mtu anamwaga sperm, wakasema Mtu kaubwa kwa sperm. Wangeendelea wangesema kaumbwa kwa utumbo.

Hizo ni contradiction za Quran, ziko nyingi tu, ninazo nyingi sana, hizi ni baadhi tu

Hii nyingine inaonesha Miungu wako wengi, yaani Mungu si mmoja

How many gods are there?

Mungu mmoja
Such is Allah, your Lord. There is no God save Him, the Creator of all things, so worship Him. And He taketh care of all things.
Qur'an 40:62
Wengi-Ona pekundu hapo-inaonesha miungu inayoumba ni mingi
Then fashioned We the drop a clot, then fashioned We the clot a little lump, then fashioned We the little lump bones, then clothed the bones with flesh, and then produced it as another creation. So blessed be Allah, the Best of creators!
Qur'an 23:14
Wengi
One day shall We gather them all together. Then shall We say to those who joined gods (with Us): "To your place! ye and those ye joined as 'partners'" We shall separate them, and their Partners shall say: "It was not us that ye worshipped!"
Qur'an 10:28-29
Wengi
More than 1 (note plural WE)
And We sent not (as Our messengers) before thee other than men, whom We inspired. Ask the followers of the Reminder if ye know not?
Qur'an 21:7
 
Umesahau kipigo cha juzi toka kwa Hizbullah alipojaribu kuchungulia Lebanon; hana lolote kwa sasa hadi utimilifu wa nyakati

hivi unajua maana ya an 'ALL OUT WAR'....tofautisha vifujo na vita...haya tupe takwimu za hiyo fujo kati ya israel wangapi walikufa katika kila pande? iliishaje hiyo fujo? UN waliingilia au? hadi inaisha nani alikuwa upande wa mwenzie na alisogea kiasi gani?
 
Wayahudi WALIJILAANI wao wenyewe siku walipomuua Yesu. Ushahidi wa KUJILAANI upo katika Injili ya Mathayo 27:25 ambapo inasomeka "Watu wote wakasema, "Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!" Haya manene waliyatamka baada ya Pilato kunawa mikono na kujiondolea hatia ya kumhukumu Yesu. Kinywa huumba, hivyo huenda hio 'chuki' kama kweli ipo basi inatokana na kauli hiyo ambayo alijilaani wao na uzao wao!

Na wasinge muua kusingekuwa na ukombozi everything happens for a reason kama Mungu alishajua tangu mwanzo kuwa atamleta mwanae na atakufa na kufufuka ili akomboe ulimwengu na kuuawa na wayahudi inamaana alishawapanga Waisrael tangu mwanzo wa muue Yesu.
 
hivi unajua maana ya an 'ALL OUT WAR'....tofautisha vifujo na vita...haya tupe takwimu za hiyo fujo kati ya israel wangapi walikufa katika kila pande? iliishaje hiyo fujo? UN waliingilia au? hadi inaisha nani alikuwa upande wa mwenzie na alisogea kiasi gani?
lengo la Ehud olmert waziri mkuu wa israel kipindi hicho cha lebanon second war ilikua ni=To finish hezbullar once and for all,yaani kuiteketeza hezbullah isiwepo tena,lengo halikutimia walipofika litan river walikumbana na kipigo kikali na kukawa na casualt kwa askari wa israel ikabidi wapull back.

UN waliingilia kati baada ya kuona israel imeua idadi kubwa ya wanawake na watoto,tofauti na hezbu ambao walikua wameinflict casualt kwa askari wa israel.
Ngoma ikaisha bila waisrael kuwakomboa mateka wao ambao ndo ilikua chanzo cha vita na bila kuachieve lengo la kuiteketeza hezbullah.
Kumbuka pia wakati hezbu ikiundwa mwaka 1982 kipindi hicho israel walikua wanaikalia lebanon ya kusini na ni hezbullah ndio walipigana hadi ikawatoa kule kusini mwa lebanon.
 
hizo huwaga ni story tu,huo ukombozi wa kuua mtu ili watu wapate ukombozi ni ukombozi wa aina gani huu?.

Afterall nani sasa kakombolewa hapo ikiwa tena ukitaka ukombolewe sharti uache kufanya dhambi.
Sasa faida ya kumuua yesu iko wapi hapa,kama lazima utubu na uende kusari kila weekend?
 
wanawake na watoto wanakufaga sababu ni kawaida ya vikundi kama hezbulla na hamas kurusha rockets kutokea maeneo ya raia mfano vyuoni.,wanafanya hivi ili ku attract pitty from international community..je lengo la hezbulla lilitimia manake wao waliteka wanajeshi wa 5 kwa nia Israel iwaachilie wafungwa wakilebanoni?
 
Kitendo cha Yesu kuuawa ilikuwa ni ishara ya Upendo kwetu kutoka kwa Mungu ingawa sisi ni watenda dhambi. Wakati ule kwa dhambi zetu Mungu alitakiwa achome moto wanadamu watenda dhambi kama ilivyokuwa kwa Sodoma na Gomala, Pia gharika kuu. Lakini badala ya kuwaadhibu wanadamu akahamua Yesu abebe mzigo huo, ateswe kwa ajili yetu, kwa hiyo Yesu alikufa kwa ajili yetu vinginevyo tungeadhibiwa sisi.

Pia kitendo cha Yesu kufa na Kufufuka ilikuwa ni ishara tosha kuwa ulimwengu umekombolewa, watu wakaamini sana mafundisho yake mpaka hapo baadhi walipouawa kwa upanga ili waachane na mafundisho ya Yesu kama kutopiga wanawake mawe nk.

Lakini ufufuko wa Yesu uko hadi kwenye Quran>> Sura 19:33: Yesu anasema "Amani iwe nami siku ya kuzaliwa kwangu, kufa kwangu na pale ambapo nitakapofufuliwa na kuwa mzima. AU

And peace is on me [Jesus] the day I was born and the day I will die and the day I am raised alive.
 
hata bongo tumo, sie ndio wezi tunaoongoza kuiba power window hata kama umeweka alarm kali kiasi gani tena kwa speed ya ajabu. :smile-big:

**ukibisha hili wewe huna gari.
 
wanawake na watoto wanakufaga sababu ni kawaida ya vikundi kama hezbulla na hamas kurusha rockets kutokea maeneo ya raia mfano vyuoni.,wanafanya hivi ili ku attract pitty from international community..je lengo la hezbulla lilitimia manake wao waliteka wanajeshi wa 5 kwa nia Israel iwaachilie wafungwa wakilebanoni?
kumbuka kipindi hicho hezbullah ilikuwa na wapiganaji active 3000 tu dhidi ya jeshi la israel lenye wapiganaji active karibu laki 2 na reserve karibu milioni moja na waisrael walikua well eguiped.

Sasa hapo ni wazi kuwa huwezi kulinganisha,lakini ukweli ni kuwa hezbu walisimama kidete na wakaweza kuwahenyesha waisrael kwa karibu mwezi mmoja na nusu wa mapigano makali bila israel kufikia lengo lao.na hadi kunakua na ceasefire hezbullah ndo walikua wa mwisho kufyatua maroketi na waisrael hawakujibu,vita ikaishia hapo.
Wale mateka ambao actually zilikua ni miili ya askari wa israel baadae walifanya exchange na wafungwa wa hezb.
Na pia kama ulisikia hata askari wa israel gilad shalit ambae yeye alitekwa na hamas na kuhifadhiwa gaza kwa zaidi ya miaka mitano nae alikuja kuachiwa kwa mabadilishano na wafungwa.
 
Kazi ya viroba hii mchana kweupe vinakuhaziri mtu mzima.

.
Kama viroba vinaweza kuwa na tabia ya kutoogopa kuuachilia ukweli basi vina manufaa mapana zaidi kwa wanywao.
Kama tofauti za Wayahudi na jamii nyingine duniani ni za kiimani kwa nini basi imani yao kwa Yehova isiwe ndio chuki kuu dhidi ya miungu wengine?.
Tutazunguks mibiyu weee lakini sababu ya msingi ndio hii.
 
ukiperuzi ktk mtandao was Jewish wana IQ zaidi ya 117 na ndo wanaoongoza duniani.they are very bright indeed
 
hivi unajua maana ya an 'ALL OUT WAR'....tofautisha vifujo na vita...haya tupe takwimu za hiyo fujo kati ya israel wangapi walikufa katika kila pande? iliishaje hiyo fujo? UN waliingilia au? hadi inaisha nani alikuwa upande wa mwenzie na alisogea kiasi gani?
Mimi ni bingwa wa mambo ya kivita tafuta cv yangu hapa Home
 
Big brains will always be violently opposed by mediocre minds!
 
Baadhi ya wanasayansi wakubwa wa Kiyahudi. Mfano huyo mgunduzi wa polio kasaidia wewe hadi mwanao msipate polio

Scientists:
Albert Einstein -- One of the most famous and influential scientists since Isaac Newton
Carl Sagan -- astronomer and popular science author; made book and TV series 'Cosmos'
Niels Bohr -- Nobel prize-winning Physicist: atomic structure
Roald Hoffmann -- Nobel prize winner in Chemistry: field of electronic structures
Fritz Haber -- winner of the Nobel Prize of Chemistry in 1918, for the synthesis of ammonia from its elements
Edward Teller -- Physicist, father of the hydrogen bomb
Leo Szilard -- Physicist, proved the possibility of a nuclear chain reaction in 1933.
Jonas Salk -- Developed the first polio vaccine.

Wale waliotokana na mtoto wa nje wa Ibrahim ndiyo huwachukia, toka enzi hizo ila cha kufurahisha hakuna wanaofanikiwa dhidi yao
Mbaya zaidi wanaowalaani kwa mujibu wa maandiko wamesha laaniwa. Ndiyo maaana Wamarekani hata uwaambie nini hawakai pembeni wengine wakilaani yeye anabariki hebu angalia mafanikio na uwezo wa Wamarekani!!! Halafu linganisha na hao wanao wachukia AIBU
 
Kitendo cha Yesu kuuawa ilikuwa ni ishara ya Upendo kwetu kutoka kwa Mungu ingawa sisi ni watenda dhambi. Wakati ule kwa dhambi zetu Mungu alitakiwa achome moto wanadamu watenda dhambi kama ilivyokuwa kwa Sodoma na Gomala, Pia gharika kuu. Lakini badala ya kuwaadhibu wanadamu akahamua Yesu abebe mzigo huo, ateswe kwa ajili yetu, kwa hiyo Yesu alikufa kwa ajili yetu vinginevyo tungeadhibiwa sisi.

Pia kitendo cha Yesu kufa na Kufufuka ilikuwa ni ishara tosha kuwa ulimwengu umekombolewa, watu wakaamini sana mafundisho yake mpaka hapo baadhi walipouawa kwa upanga ili waachane na mafundisho ya Yesu kama kutopiga wanawake mawe nk.

Lakini ufufuko wa Yesu uko hadi kwenye Quran>> Sura 19:33: Yesu anasema "Amani iwe nami siku ya kuzaliwa kwangu, kufa kwangu na pale ambapo nitakapofufuliwa na kuwa mzima. AU

And peace is on me [Jesus] the day I was born and the day I will die and the day I am raised alive.

MUNGU aliweka mwenyewe adhabu hiyo ya kuteketeza wanadamu wote kwani ilikua lazima atolewe yesu asulubiwe ili hiyo adnabu isiwepo aiomdoe TUJIULIZE hivi katika maandiko mengi ya kiroho afrika haipo inamaana wakati wa nuhu kulikua hamna wa Afrika enzi za sodoma na gomora afrika ilikua wapi?au kulikua hamna waafika tumeletewa tu hizi dini babu zetu walikua waabudu nini?mbona wahindi wanaabudu wanyama wachina nao wazungu walituhalibu sana kifikra walipoamua kututawala hivi kuna myahudi mlokole.
 
Mtoa mada angeweka wanachukiwa na taifa gani. sio kila taifa linawachukia hawa watu. Hata mtoa mada sio wote wanakupenda.
 
Back
Top Bottom