Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Mimi mtu mweusi mbona pia nabaguliwa? Hayo ya wayahudi yanawahusu wao wenyewe kwani nao pia ni wabaguzi kupita kiasi.
 
wanawake na watoto wanakufaga sababu ni kawaida ya vikundi kama hezbulla na hamas kurusha rockets kutokea maeneo ya raia mfano vyuoni.,wanafanya hivi ili ku attract pitty from international community..je

lengo la hezbulla lilitimia manake wao waliteka

wanajeshi wa 5 kwa nia Israel iwaachilie

wafungwa wakilebanoni?

FAida ni hii,kiimani adhabu ilikuwa ni kufa milele lakini baada ya kifo cha Yesu kumekuwa name tumaini lijulikanalo kama Life after death!

Isingekuwa Yesu kufa,Kusingekuwa na tumaini la life after death
 
Kitendo cha Yesu kuuawa ilikuwa ni ishara ya Upendo kwetu kutoka kwa Mungu ingawa sisi ni watenda dhambi. Wakati ule kwa dhambi zetu Mungu alitakiwa achome moto wanadamu watenda dhambi kama ilivyokuwa kwa Sodoma na Gomala, Pia gharika kuu. Lakini badala ya kuwaadhibu wanadamu akahamua Yesu abebe mzigo huo, ateswe kwa ajili yetu, kwa hiyo Yesu alikufa kwa ajili yetu vinginevyo tungeadhibiwa sisi.

Pia kitendo cha Yesu kufa na Kufufuka ilikuwa ni ishara tosha kuwa ulimwengu umekombolewa, watu wakaamini sana mafundisho yake mpaka hapo baadhi walipouawa kwa upanga ili waachane na mafundisho ya Yesu kama kutopiga wanawake mawe nk.

Lakini ufufuko wa Yesu uko hadi kwenye Quran>> Sura 19:33: Yesu anasema "Amani iwe nami siku ya kuzaliwa kwangu, kufa kwangu na pale ambapo nitakapofufuliwa na kuwa mzima. AU

And peace is on me [Jesus] the day I was born and the day I will die and the day I am raised alive.

mkuu kumbe yesu alikufa na kufufuka kwenye kuran
 
MUNGU aliweka mwenyewe adhabu hiyo ya kuteketeza wanadamu wote kwani ilikua lazima atolewe yesu asulubiwe ili hiyo adnabu isiwepo aiomdoe TUJIULIZE hivi katika maandiko mengi ya kiroho afrika haipo inamaana wakati wa nuhu kulikua hamna wa Afrika enzi za sodoma na gomora afrika ilikua wapi?au kulikua hamna waafika tumeletewa tu hizi dini babu zetu walikua waabudu nini?mbona wahindi wanaabudu wanyama wachina nao wazungu walituhalibu sana kifikra walipoamua kututawala hivi kuna myahudi mlokole.

Yesu alisema injili itengazwe mataifa yote. Kumbuka dini imeanzia mashariki ya kati, hata ULAYA kwa wazungu imekwenda kama ilivyokuja Africa. Lakini pia Yesy amewahi kuja Africa (Misri)
 
MUNGU aliweka mwenyewe adhabu hiyo ya kuteketeza wanadamu wote kwani ilikua lazima atolewe yesu asulubiwe ili hiyo adnabu isiwepo aiomdoe TUJIULIZE hivi katika maandiko mengi ya kiroho afrika haipo inamaana wakati wa nuhu kulikua hamna wa Afrika enzi za sodoma na gomora afrika ilikua wapi?au kulikua hamna waafika tumeletewa tu hizi dini babu zetu walikua waabudu nini?mbona wahindi wanaabudu wanyama wachina nao wazungu walituhalibu sana kifikra walipoamua kututawala hivi kuna myahudi mlokole.

Serious Afrika haipo kwenye masndiko??? Hivi yule Hajra kijakazi alitezaa na Adam katoka nchi gani??? Waisrael walienda utumwani nchi gani??? Yesu baada ya kuzaliwa Yoseph na Maria walikimbilia nchi gani?? Stori za wajina wangu qn of sheba na mfalme Suleiman, huyu malkia alitokea nchi gani??.. Wale mamajusi wenye dhahabu na manemane walitokea wapi.. Dhahabu ya Ofiri inayozungumziwa kwenye Biblia inatokea bara gani??.
 
Last edited by a moderator:
hizo huwaga ni story tu,huo ukombozi wa kuua mtu ili watu wapate ukombozi ni ukombozi wa aina gani huu?.

Afterall nani sasa kakombolewa hapo ikiwa tena ukitaka ukombolewe sharti uache kufanya dhambi.
Sasa faida ya kumuua yesu iko wapi hapa,kama lazima utubu na uende kusari kila weekend?

Kama imani yako haikuambii hayo niliyosema basi haina faida kwako maana hata nikikuambia ukombozi gani kwako hauna umuhimu ni imani na imani ni kama feeling u cant touch but you feel it.
 
FAida ni hii,kiimani adhabu ilikuwa ni kufa milele lakini baada ya kifo cha Yesu kumekuwa name tumaini lijulikanalo kama Life after death!

Isingekuwa Yesu kufa,Kusingekuwa na tumaini la life after death
lakini hakuna mtu aliomba life after death.
 
Inawezekana!

Kama serikali yetu inawezakutumia bilioni 60 kwa siku sabini lakini inasubiri fedha kiasi cha bilioni kumi na mbili kutoka kwa wahisani kujenga barabara nchini!!!! Unategemea nini?

Hapa kwetu wale watu wanaochonga magobore mtaani huwa wanafungwa, sidhani kama kuna mpango wa kuwawezesha na kuwatumia ili watengeneza silaha bora zaidi. Wenzetu wakionekana na kipaji huwekwa kambini na kuwezeshwa!

Kwamtindo huu tutasuburi sana!

PS. Kuna mtanzania aligundua "Mpemba effect"....kwahiyo si wayahudi pekee wenye kugundua mambo ya kisayansi.

Hawana ubinafsi. Wanalinda maslahi ya nchi yao na watu wao. Na wanaweza kujitosheleza kwa kila kitu technologically,military and economically

Bila kuwa na IQ kubwa utagundua? Hapa naangalia uchache wao duniani lakini wameweza kuonekana katika ugunduzi soma link hii Jewish Inventors

Jibu ni Simple. Hawa jamaa wamejaliwa akili, wako smart. Popote wanakokwenda huwa wakifanya jambo wanafanikiwa. Hivyo kwa mafanikio yao wanaonewa wivu. Hata kisa cha Hitler kuwaua ni baada ya kuona wanakuja juu. Ni wivu tu
 
Mkuu unatufanya kama watoto. Mimi naamini Mungu aliumba binadam katika hali ya miujiza, habari ya kusema eti alichukua damu, akachukua maji, akachukua sperm ni utata mtupu. Hiyo damu aliitoa wapi?, hiyo sperm aliitoa wapi?. Hizi ni evidence kuwa QURAN ni man made, yaani makanjanja waliona kuwa mtu ana mabonge ya damu wakasema Mungu kaumba kwa mambonge ya damu, wakaona mtu anatoka jasho, wakasema kaumbwa kwa maji, wakaona mtu anamwaga sperm, wakasema Mtu kaubwa kwa sperm. Wangeendelea wangesema kaumbwa kwa utumbo.

Hizo ni contradiction za Quran, ziko nyingi tu, ninazo nyingi sana, hizi ni baadhi tu

Hii nyingine inaonesha Miungu wako wengi, yaani Mungu si mmoja

How many gods are there?

Mungu mmoja
Such is Allah, your Lord. There is no God save Him, the Creator of all things, so worship Him. And He taketh care of all things.
Qur'an 40:62
Wengi-Ona pekundu hapo-inaonesha miungu inayoumba ni mingi
Then fashioned We the drop a clot, then fashioned We the clot a little lump, then fashioned We the little lump bones, then clothed the bones with flesh, and then produced it as another creation. So blessed be Allah, the Best of creators!
Qur'an 23:14
Wengi
One day shall We gather them all together. Then shall We say to those who joined gods (with Us): "To your place! ye and those ye joined as 'partners'" We shall separate them, and their Partners shall say: "It was not us that ye worshipped!"
Qur'an 10:28-29
Wengi
More than 1 (note plural WE)
And We sent not (as Our messengers) before thee other than men, whom We inspired. Ask the followers of the Reminder if ye know not?
Qur'an 21:7

Yaani unatest grammar ya kurani!!, Do you know that Kuran is text book of Grammer? ask arabs wapo wakristo huko misri na sehemu nyingine watakushangaa sana kwani hiyo lugha ya kiarabu grammer yake imetoka kwenye Kuran,language iliyotumika ni tofauti je unalijua hili.unajalibu kupima urefu kutumia futi na kulinganisha iwe sawa na centimeters ni kitabu pekee kilichojinadi litafutwe kosa kama litaonenekana hizo zako ni repetions sitokujibu kwani nimeshakuelewa lakini hakuna hoja hapo. uliza kistaarabu nikufahamishe
 
Mkanganyiko kwenye miujiza
[h=3]Can messengers perform miracles?[/h]Hapa anasema Mungu pekee ndie kufanya Miujiza, hapa ni baada ya kumuuliza Mohammad kwanini hafanyi miujiza
And they say: "Why are not miracles sent down to him from his Lord? Say: "The signs are only with Allah , and I am only a plain warner."
Qur'an 29:50

Lakini hapa inapingana, inaonekana si Mungu pekee anatenda miujiza
, bali Yesu pia

We have made some of these apostles to excel the others; among them are they to whom Allah spoke, and some of them He exalted by (many degrees of) rank; and We gave clear miracles to Isa son of Marium, and strengthened him with the holy spirit.
Qur'an 2:253

Hapa Pia haijulikani ni nani alimshushia Aya Mtume. Roho mtakatifu au Gabriel?

[h=3]Who brought the revelation to Muhammad?[/h]Holy spirit Qur'an 16:102
Say, the Holy Spirit has brought the revelation from thy Lord in Truth, in order to strengthen those who believe, and as a Guide and Glad Tidings to Muslims

Angel jibreel Qur'an 2:97
Say (O Muhammad, to mankind): Who is an enemy to Gabriel! For he it is who hath revealed (this Scripture) to thy heart by Allah's leave, confirming that which was (revealed) before it, and a guidance and glad tidings to believers;
 
Yaani unatest grammar ya kurani!!, Do you know that Kuran is text book of Grammer? ask arabs wapo wakristo huko misri na sehemu nyingine watakushangaa sana kwani hiyo lugha ya kiarabu grammer yake imetoka kwenye Kuran,language iliyotumika ni tofauti je unalijua hili.unajalibu kupima urefu kutumia futi na kulinganisha iwe sawa na centimeters ni kitabu pekee kilichojinadi litafutwe kosa kama litaonenekana hizo zako ni repetions sitokujibu kwani nimeshakuelewa lakini hakuna hoja hapo. uliza kistaarabu nikufahamishe

Mkuu umeshidwa kunieleza kuhusu binadamu kuumbwa kwa sperm
 
Ni Jibu zuri ingawaje nina tofautiana nalo...Wayahudi ni kweli ni watu waliojaaliwa kua na akili katika dunia hii...ila wao huitumia akili yao pia katika kufitinisha makundi ya watu wanapoingia nchini mwa watu.....ni wazuri kwa kutengeneza Fitna na kusababisha ugonvi mkubwa.....Wazungu si watu wenye wivu wa mafanikio alhmuhim utakua unalipa kodi na kutoa ajira kwa mafanikio yako wao wako poa tu...Chukulia mfano wa tajiri Milionea wa kimisri nchini Uingerea.Dod Alfayed(former Fulhma united owner..Sheikh Mansoor(Man City)...) Mtoto wa mfalme wa Saudia Arabia(owner of Shelield united) Roman Abramovic(Chelsea....Mmiliki wa PSG ufaransa..ukiangalia UK wazungu hawana Bifu na waraaabu wala hawana chuki...they knows it is business!
 
Wadau nimeona niulize swali hili,

Kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani.

Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji.

Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti Semitic gesture).

Baada ya kuona wanabaguliwa, Marekani waliapa kuwalinda popote walipo duniani.

Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?

Wayahudi wanaonekana "kuchukiwa" kwa sababu wanajua propaganda. Wamekuwa wakipaza sauti kulalamika kuwa wanateswa na kuchukulia Holocaust kama poster child ya mateso yao. Anti semitism propaganda imekuwa perpetrated duniani na wao ili kila anayetaka kusema kitu ambacho wao wanaona si sawa ajulikane kuwa anawachukia (anti semitic).

Kuwa wao ni taifa teule la Mungu is just another bullshit that has been perpetrated by Jews themselves and Christianity. Hili suala la kuwa wao ni smart kuliko wengine kama wachangiaji wengine walivyoandika ni ujinga mwingine tulionao kuamini kuwa intelligence has something to do with ethnicity.

Marekani kuwalinda ni kwa sababu ya ushawishi mkubwa wa kiyahudi (Jewish lobby) uliopo huko US unaotokana na Jews kushikilia sekta muhimu za kiuchumi pamoja na Media hivyo wanakuwa na uwezo mkubwa wa kuhakikisha kuwa interests zao zinalindwa. Vile vile madhehebu ya Walokole (Evangelicals) wa huko US wamekuwa wakiwatetea kupitia dini kama nilivyosema hapo juu.

Kila jamii hapa duniani imeshawahi kuwa persecuted wakati mmoja au mwingine. Mifano michache ni Waafrika na slavery, Mauaji ya Waarmenia yaliyofanywa na Waturuki, Wakurdi huko Iraq na Turkey, Wachina walipotawaliwa na Wajapan, Ethnic cleansing huko Bosnia etc lakini hatujasikia watu hao wakilalamika mpaka leo kuwa waonewe huruma na dunia, shit happens but life should go on. Wao kila siku ni kulialia tu kana kwamba hakuna watu wengine waliowahi kuteswa.

Cha ajabu ni kuwa pamoja na kulialia kuwa wanaonewa tazama wanachowatendea Wapalestina, halafu unategemea nani atakupenda?
 
Hivi Wapalestina walikuwa wakiishi wapi miaka ya 100?
 
Back
Top Bottom