Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
hivi kwa ni mataifa ya kiarabu/ ndio yanaongoza kwa kuangalia mitandao ya ngono?
where is your proof??
hivi kwa ni mataifa ya kiarabu/ ndio yanaongoza kwa kuangalia mitandao ya ngono?
hivi kwa ni mataifa ya kiarabu/ ndio yanaongoza kwa kuangalia mitandao ya ngono?
Mimi sifurahii kuona Wapalestina wananyanyaswa maana nao ni binadamu. Labda tujiulize Wayaudi kwao ni wapi kama hata Israel wanaonekana wavamizi. Nadhani wanatakiw wagawane ile nchi kwa usawa na kila mtu aridhike na kwake. Tatizo hatujui nini kilitokea wakati walipoondoka huko Israel na kuanza kuzagaa ovyo kwingine.
Kuhusu kuwa intelligence iko wazi ukilinganisha na idadi yao mfano hapa
Jews farmous scientists
Albert Einstein -- One of the most famous and influential scientists since Isaac Newton
Carl Sagan -- astronomer and popular science author; made book and TV series 'Cosmos'
Niels Bohr -- Nobel prize-winning Physicist: atomic structure
Roald Hoffmann -- Nobel prize winner in Chemistry: field of electronic structures
Fritz Haber -- winner of the Nobel Prize of Chemistry in 1918, for the synthesis of ammonia from its elements
Edward Teller -- Physicist, father of the hydrogen bomb
Leo Szilard -- Physicist, proved the possibility of a nuclear chain reaction in 1933.
Jonas Salk -- Developed the first polio vaccine. Scientists and inventors who are not Jews
None Jews
Galileo Galilei - Telescope, Kinematics, Astronomy
Isaac Newton - Calculus, Prism, laws of motion, gravity
Leonardo Da Vinci - Anatomy, Optics
Guglielmo Marconi - Telegraphy, Radio
Michael Faraday - Electromagnetism, Faraday effect
Daniel Benoulli - Thermodynamics, Bernoulli's principle
Alfred Nobel - Dynamite
Alexander Graham Bell - Telephone
Archimedes - Archimedes Principle
Aristotle - Hexis, syllogism
Carl Bosch - Chemical high pressure methods
Henry Ford - Assembly line technique
Naunga mkono hoja, Hawa watu sio watu wa kawaida na huo ukweli watu wachache kama marehem Hugo aliyekuwa rais wa Venezuela amekufa wakiwa na siri nyingi saana kwa mfano.. Bush alipo maliza kuutubia akaenda yeye kisha akasema, Nasikia harufu ya Shetani.
kuna nchi nyingine jirani na israel wanaongea lugha ya kihebrew?.
Kama hakuna jua israel imechomekwa hapo ,haikupaswa iwepo hapo
Ushahidi ni kuwa Wapalestina wamekuwa wakiishi hapo tangu kabla ya Kristo (1150 BC to be exact). Nimeshakutajia ilikuwa inaitwa Palestine sasa sijui unataka jina gani. Mahali ilipo leo ndio hapo hapo ilipokuwa kipindi hicho.
beefinjector hebu njoo hapa uniambie kama na huyu unamuamini maana nae ameleta maneno tu kama yako!Hao ni wavamizi tu wa kiarabu..(wamevamia nchi nyingi sio israel tu)..asili yao pande za SAUDIA...palestina hawana hata lugha yao ya asili...wanaongea kiarabu...ila wao ndo wanalalamika wamevamiwa...
Wayahudi si watu wazuri,ni wakatiri,dharau,kebehi kujiona wao ndo bora,wezi,majigambo,etc.
Hawa jamaa hata mungu wao walimsumbuaga sana wakati anawatoa misri utumwani kwenda nchi ya caanan.
Nikikuambia wewe huyo unaejua sio mama yako na alikuiba hospital halafu huko unakodhani ni kwenu sio kweli kuwa ni kwenu na kwenu ni Congo na nikakuambia uliishihuko kwa miaka minne ya mwanzo utakubali?
Kama hautakubali kwanini?
beefinjector hebu njoo hapa uniambie kama na huyu unamuamini maana nae ameleta maneno tu kama yako!
Ukinipa ushahidi kwa nini nisikubali. By the way sijaona argument yako inahusiana nini na tunachojadili hapa.
Soma vizuri alichoandika, anachosema ni tofauti na mimi.
Mnafurahisha sana nyie watu
Unashindwa kuona uhusianao wa nilichosema na mada kwasababu wewe mwenyewe hujui unajadili nini na unajibu nini
Tazama hapo ilipo bold halafu uone nilichokudai na kile ulichonijibu baada ya mimi kukudai nilichokudai kisha ujijibu wewe mwenyewe!
Suala sio ulichoandika wewe ndugu yangu ni kile alichokisema na nilichokisema mimi
Unashindwaje kuunganisha dots na kupata majibu?