W Wisle JF-Expert Member Joined Dec 27, 2023 Posts 613 Reaction score 1,242 Jun 11, 2026 #41 Katika aina ya music ambao siuelewi ni singeli. Ingawa nilitokea kuupenda ule wimbo wa “mamu” alioshirikishwa Mr. Blue.
Katika aina ya music ambao siuelewi ni singeli. Ingawa nilitokea kuupenda ule wimbo wa “mamu” alioshirikishwa Mr. Blue.
Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,753 Jun 12, 2026 #42 Mahondaw said: Nawe wapenda singeli lo?? Click to expand... Huyo ni kinara acha aekewe za Dj miso missondo hapo atavuruga kitaa
Mahondaw said: Nawe wapenda singeli lo?? Click to expand... Huyo ni kinara acha aekewe za Dj miso missondo hapo atavuruga kitaa
Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,753 Jun 12, 2026 #43 Wisle said: Katika aina ya music ambao siuelewi ni singeli. Ingawa nilitokea kuupenda ule wimbo wa “mamu” alioshirikishwa Mr. Blue. Click to expand... Acha nazakwetu uswahil maana sio poa
Wisle said: Katika aina ya music ambao siuelewi ni singeli. Ingawa nilitokea kuupenda ule wimbo wa “mamu” alioshirikishwa Mr. Blue. Click to expand... Acha nazakwetu uswahil maana sio poa
Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,920 Reaction score 3,753 Jun 12, 2026 #44 Jana nimekesha kwenye kigodoro had saa 9 leo yaan raha kwel kwanza hapa DSM
AlephMemShin Member Joined Jan 18, 2018 Posts 56 Reaction score 100 Jun 12, 2026 #45 huu mziki hauna utulivu tempo yake 2 unaona ilvyorace na tz idadi kubwa ya watu ni vjana na vijana cku hz wapo race na maisha ko razma waendanene na vitu znye pigo izo za urace urace kila saa yaan m2 yuko nduuuuki apo blues haimake sense
huu mziki hauna utulivu tempo yake 2 unaona ilvyorace na tz idadi kubwa ya watu ni vjana na vijana cku hz wapo race na maisha ko razma waendanene na vitu znye pigo izo za urace urace kila saa yaan m2 yuko nduuuuki apo blues haimake sense
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,070 Reaction score 31,572 Aug 6, 2026 #46 Suhendra said: Asilimia kubwa wanao penda mziki huwo ni vijana wahuni Click to expand... Acha hizo bana
Suhendra said: Asilimia kubwa wanao penda mziki huwo ni vijana wahuni Click to expand... Acha hizo bana