Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Baba atabakia kuwa baba milele ila mama ni mama kama lilivyo jina lake.

Akina mama wengi wana upendo wa kinafki

Wanachokionyesha kwa watoto akitoki moyoni Bali machoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba atabakia kuwa baba milele ila mama ni mama kama lilivyo jina lake.

Akina mama wengi wana upendo wa kinafki

Wanachokionyesha kwa watoto akitoki moyoni Bali machoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kuna katabia kabaya ambacho wamama upenda sana kuwapandikiza kwa watoto kuwa baba mbaya ndio maana siku zote baba mchango wake ni ngumu kuonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini bado haitoshi mama anaonekana bora by ze way wanaume kwenye familia sio waongeaji sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala wao hautofautiani na utawala wa popo

Pale viumbe walalapo ndo muda wao wa mawindo

Viumbe wengi wamepotea kimya kimya bila watu kujua ila ukifatilia kwa umakini, akina mama wanahusika pakubwa

Hakikisho bora kwa mwanamke ni mwanaume. ILA

Tishio kubwa la mwanaume ni mwanamke



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mm wazazi wote wako sawa kbs lakini mafanikio mengi kimaisha yanajengwa sana na malezi ya baba, labda niseme mama ana malezi ya kibinadamu hasa, lakini BABA anamalezi ya KIMAISHA KIDUNIA

1. watu wa leo wengi wanakosa malezi ya baba, amezaliwa na single mama , ATAWEZAJE KUMSIFIA BABA ? sbb hajawahi kulelewa na baba hawezi compare, hana cha kulinganisha na mama ndio maana utasikia "hakuna kama mama"

2. Cha kushangaza humu kuna mibaba, midume mizima na ina watoto nayo inasema Hakuna kama mama or mama ni bora kuliko baba, That means Mke wako ni BORA kuliko wewe.
ujinga mtupu ndio maana mnazaa hovyo hovyo mitaani hamlei watoto wenu.

3.Kama basi mama ni bora kuliko baba ni kwa nini duniani kote UBIN WAKO unakuwa wewe ni mtoto wa baba ? mbona hujaitwa John Jesca ? ? Hamisi Halima ??

4. Naomba mjitambue kuwa kama umelelewa na mzazi mmoja tangia leo JITAMBUE UNA MAPUNGUFU kisaikolojia , msituaribie kamwe MAADILI YETU.

5. Ni vema pia tukatambua kuwa jamii zetu hasa mjini na kwa sababu wanawake ni wengi kuliko wanaume, pia matatizo ya kiiuchumi , culture zilivyo jamii iliopo % kubwa sana watakuwa wanalelewa upande mmoja hasa mama haya ndio matokeo yake
 
Back
Top Bottom