Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Yote waache watusingizie ila mwisho wa siku wakikua watamtafuta baba yao ambae ndio mimi.

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Sio mama tu ni wazazi wote wawili ni Mungu wa pili

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
lkn, cjajua kama ni kwel kila mtu husema wazazi wote ni mung wa pili, weng wanadai mama ndo mungu wa pili, me hua nawashangaa sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom