Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Wew sisi mafirst born, baba na mama huwa tunawaona wazinguaji wote,
Labda kama wew mpenz wa kazi za kike hapo mama utampenda sana.

Ila first born siku zote huwa ni mchafua mazingira nyumban coz wazazi ndio huanza kulea kwa mala ya kwanza kwako.
Ni sahihi ila si kwa first born hata second, third na kuendelea huwezi sema mama anapendwa na first born dunian kote..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ukitaka kujua wa mama hujiweka kando, mara baada ya kuwa viupaumbele kwa watoto wao (mfano wa kiume) kupata wenza why hua hawatoi hata sent moja ktk suala la mahali ya mtoto wao... ila shukran nyingii zitamwagwa kwa mama wakati wa risala.. Ivi pasipo mahali ya baba kweli hata hiyo risala ingesomwa.. Jamani tuwaonenii huruma baba zetu.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kama mama maana angekubana wewe usingezaliwa hai! Umemkojolea, ukamnyea ukimsumbua wakati unaumwa hata kuongea hujui ila yeye akajua unasumbuliwa na nn. Mtoto huanza kumtambua mama yake,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew sisi mafirst born, baba na mama huwa tunawaona wazinguaji wote,
Labda kama wew mpenz wa kazi za kike hapo mama utampenda sana.

Ila first born siku zote huwa ni mchafua mazingira nyumban coz wazazi ndio huanza kulea kwa mala ya kwanza kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamaanisha kuwa mtoto wa kwanza kwenye familia kuna vitu unakosa coz wazaz bado ni lena kwenye kulea au unamaanisha nn

Mkuu binafsi namuogopa sana mama mzaz najua umuhimu wake ndio maana mama akikuachia maana hutoboi hata kidogo la hasha si kwamba baba hana umuimu kwenye malezi naye anao but kumfikia mama bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivo, ninlahis sna mzazi kukupelekesha na kutaka ufanye mengi atakavyo yeye, na hutaka mazur kwako haraka hadinkupitiliza.

Pia ukikua kua tu ni rahis wao kuwa busy na wadogo zako.

Pia shetani nae ni nan, ana attack sana wazaliwa wa kwanza katika familia, kwan wao ndio nguzo.
Mkuu unamaanisha kuwa mtoto wa kwanza kwenye familia kuna vitu unakosa coz wazaz bado ni lena kwenye kulea au unamaanisha nn

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivo, ninlahis sna mzazi kukupelekesha na kutaka ufanye mengi atakavyo yeye, na hutaka mazur kwako haraka hadinkupitiliza.

Pia ukikua kua tu ni rahis wao kuwa busy na wadogo zako.

Pia shetani nae ni nan, ana attack sana wazaliwa wa kwanza katika familia, kwan wao ndio nguzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu asilimia 100% nimeona hata kwa familia yetu wazaliwa wa kwanza umebebeshwa mizigo misiri ya punda pamoja na kuangalia malezi ya wadogo pia umesema wanakuwa attack sana na shetani ni kweli kabisa na wanasema mtoto wa kwanza akifanikiwa basi the rest wote ufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa,
Sasa huyo jamaa ambae anajikuta ana mapenz sana na mama, alafu ni first born, na wasiwasi na akili zake.
Au nadhan mama ake ni mama wa nyumban na anadekeza watoto wotee.
Nakubaliana na wewe mkuu asilimia 100% nimeona hata kwa familia yetu wazaliwa wa kwanza umebebeshwa mizigo misiri ya punda pamoja na kuangalia malezi ya wadogo pia umesema wanakuwa attack sana na shetani ni kweli kabisa na wanasema mtoto wa kwanza akifanikiwa basi the rest wote ufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew sisi mafirst born, baba na mama huwa tunawaona wazinguaji wote,
Labda kama wew mpenz wa kazi za kike hapo mama utampenda sana.

Ila first born siku zote huwa ni mchafua mazingira nyumban coz wazazi ndio huanza kulea kwa mala ya kwanza kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaa kumbe[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom