Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Kwakweli mababa tunatengenezewa mazingira tuonekane hatuna upendo kwa watoto wetu mfano mtoto amefanya kosa utamsikia mama "ngoja baba ako arudi utamkoma leo" why asimuadhibu yeye mwenyewe mama mpaka baba arudi

But hata mimi nampenda mama sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom