Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,694
- 98,748
Doh!Mungu yu mwema daima. Vyura vinateseka... mvua hainyeshi jangwani jua kali
Hakunaga mzee mwenye maneno hivi
Doh!Mungu yu mwema daima. Vyura vinateseka... mvua hainyeshi jangwani jua kali
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]wamama hawapendi mambo magumu,ndio maana wanakuwa wepesi kenye maamuzi
Me sizani kuzaa ndo inaleta tija ya yeye kupendwa.. maana hilo ni tendo la mara moja, haya maisha ya kila siku ndo yanachochea mmoja kuonekana yupo care na mwingine hayupo care..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo utajua wababa tumetengwa!![emoji848][emoji848][emoji848]Eti jameni mtu akipata ajali utasikia mama wewe au mungu wangu au yesu wangu au mtumee mbona sijawai kusikia baba wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa tumetengwa sana na sijui sababu nini kwakweliHapo ndo utajua wababa tumetengwa!![emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti jameni mtu akipata ajali utasikia mama wewe au mungu wangu au yesu wangu au mtumee mbona sijawai kusikia baba wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini?ila usiseme kukuzaa coz bila baba hiyo mimba isingekuwepo
Ahahahahahaa,,, mkuu we noma sana mtusi tena badala ya kusema mamaaaaaa alafu ndio mtusi teh teh tehMm nkipata hajar ndogo, huwa nakulupuka na tusi, sio mama wala Mungu.
Nikiisha ona sijazurka sana, ndio namshukuru Mungu wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaaa babu Asprin umenenaBasi thread iishie hapo hapo. Kwanza mi nakupenda wewe. Mama anampenda baba...
sasa ukitaka kujua wa mama hujiweka kando, mara baada ya kuwa viupaumbele kwa watoto wao (mfano wa kiume) kupata wenza why hua hawatoi hata sent moja ktk suala la mahali ya mtoto wao... ila shukran nyingii zitamwagwa kwa mama wakati wa risala.. Ivi pasipo mahali ya baba kweli hata hiyo risala ingesomwa.. Jamani tuwaonenii huruma baba zetu.!!Mama anaushawishi mkubwa kwa mtoto wake angalia hata vijana wakitaka kuoa au kupata mpenzi mama atakuwa wa kwanza kufahamu, mama anaspecial bond kwa mtoto, hata ikikutokea wewe kati ya mama au baba yako wanakuomba pesa respond ya kwanza itakuwa kumsikiliza mama kuliko mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app