Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Kwanini watu wengi wanampenda Mama?

Utawala wao hautofautiani na utawala wa popo

Pale viumbe walalapo ndo muda wao wa mawindo

Viumbe wengi wamepotea kimya kimya bila watu kujua ila ukifatilia kwa umakini, akina mama wanahusika pakubwa

Hakikisho bora kwa mwanamke ni mwanaume. ILA

Tishio kubwa la mwanaume ni mwanamke



Sent using Jamii Forums mobile app
Says like genius[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mm wazazi wote wako sawa kbs lakini mafanikio mengi kimaisha yanajengwa sana na malezi ya baba, labda niseme mama ana malezi ya kibinadamu hasa, lakini BABA anamalezi ya KIMAISHA KIDUNIA

1. watu wa leo wengi wanakosa malezi ya baba, amezaliwa na single mama , ATAWEZAJE KUMSIFIA BABA ? sbb hajawahi kulelewa na baba hawezi compare, hana cha kulinganisha na mama ndio maana utasikia "hakuna kama mama"

2. Cha kushangaza humu kuna mibaba, midume mizima na ina watoto nayo inasema Hakuna kama mama or mama ni bora kuliko baba, That means Mke wako ni BORA kuliko wewe.
ujinga mtupu ndio maana mnazaa hovyo hovyo mitaani hamlei watoto wenu.

3.Kama basi mama ni bora kuliko baba ni kwa nini duniani kote UBIN WAKO unakuwa wewe ni mtoto wa baba ? mbona hujaitwa John Jesca ? ? Hamisi Halima ??

4. Naomba mjitambue kuwa kama umelelewa na mzazi mmoja tangia leo JITAMBUE UNA MAPUNGUFU kisaikolojia , msituaribie kamwe MAADILI YETU.

5. Ni vema pia tukatambua kuwa jamii zetu hasa mjini na kwa sababu wanawake ni wengi kuliko wanaume, pia matatizo ya kiiuchumi , culture zilivyo jamii iliopo % kubwa sana watakuwa wanalelewa upande mmoja hasa mama haya ndio matokeo yake
Nitumie no nikutumie zawadi yako, watu kama wewe ndo wanatakiwa kuwepo ktk ulimwengu huu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kina mama huwalisha sumu watoto na kuwafanya watoto wamuogope baba yao,vitu vingi kina baba husingiziwa japo kuna mababa makatili lakin wapo baba wema tu

Babab zetu hawana muda wa kukaa na sisi wangekuwa wanaonesha huo ukaribu kama wazungu wafanyavyo fitina isingekuwepo

Ila heko kwa kina mama wengi hulea watoto kwa shida,kutelekezwa baba akioa mwanamke mwingine mama husimama imara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifanye pesa ndo kila kitu, ukitegemea pesa iendeshe furaha ya maisha yako then ndoa itakushinda.kuna watu wanapesa lakini furaha ya ndoa hawana, wake zao wanahangaika kutafuta raha ya mikuno nje ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
me naamini hata ukimtunza mwanao kwa nadhalia ya malezi pasipo kumtizia mahitaji yake yanahitaji kutatuliwa kwa pesa bado pia familia itakushinda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kina mama huwalisha sumu watoto na kuwafanya watoto wamuogope baba yao,vitu vingi kina baba husingiziwa japo kuna mababa makatili lakin wapo baba wema tu

Babab zetu hawana muda wa kukaa na sisi wangekuwa wanaonesha huo ukaribu kama wazungu wafanyavyo fitina isingekuwepo

Ila heko kwa kina mama wengi hulea watoto kwa shida,kutelekezwa baba akioa mwanamke mwingine mama husimama imara

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji872]√[emoji872] nimeiona hiyo[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom