Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,136
- 6,921
- Thread starter
- #21
Nampenda ila si kama baba, hii ni kwa walio wengiWew humpendi baba yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda ila si kama baba, hii ni kwa walio wengiWew humpendi baba yako?
😊😊Ewaaa... we ni jiniaz kama Emmanuel Okwi
Mama ni mama tu
Nani kama mama? Jaribu hata kwa juma moja tu ubaki na watoto nyumbani uone shughuli yake ilivyo, huyu analia, huyu kajinyea, huyu anaharibu vitu - mahangaiko yote kwa mama.
Nampenda mama yangu na hajawahi kuwa muongo kwa sisi wanae hata. Mama na aheshimiwe na watu wote
Ndo nilichoandika
Me sizani kuzaa ndo inaleta tija ya yeye kupendwa.. maana hilo ni tendo la mara moja, haya maisha ya kila siku ndo yanachochea mmoja kuonekana yupo care na mwingine hayupo care..Mama ndo anajua alivyokuzaa, akakulea na anahuruma na wewe, vilevile ndo anayeju ukweli wa baba yako mzazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kapiga goli mbili?Ndo nilichoandika
Anaongoza goli mbili
Kama familia kwa maana ya watoto zingelelewa na baba kwa % nyingi si ajabu ulimwengu ungekuwa hauna binadamu ,tungeshatoweka(mimi mwenyewe ni baba ndugu)
wamama hawapendi mambo magumu,ndio maana wanakuwa wepesi kenye maamuzi
wa baba hatuna huruma!!Mama ndo anajua alivyokuzaa, akakulea na anahuruma na wewe, vilevile ndo anayeju ukweli wa baba yako mzazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba ndo mhimili wa familia, watu wote tuanze kuwapenda zaidi baba zetu zaidi kuliko akina mama.Kwahiyo mnatakaje?
Oooh kumbe!! Basi tutawafikiria.Baba ndo mhimili wa familia, watu wote tuanze kuwapenda zaidi baba zetu zaidi kuliko akina mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampenda ila si kama mama, wengi tumekalili hivyo!!Wew humpendi baba yako?
Mungu yu mwema daima. Vyura vinateseka... mvua hainyeshi jangwani jua kaliSimba
Kama kawaida Okwi ndani na Chama