Kwanini watu wanapenda kuvaa milegezo?

Kwanini watu wanapenda kuvaa milegezo?

Marekani kwenyewe Mlegezo kwa sasa ni Marufuku panda Ndege za America Airline kuna Matangazo ndani ya ndege yanakataza Uvaaji Mlegezo,na kuna Majimbo hawataki kusikia wala kuona kitu Mlegezo, Viwanda vya Chupi na boxers huweka Lebo kwenye nguo za ndani ili wazitangaze kwenye Matamasha ambapo huvaa Milegezo kipindi cha show ili kutangaza hizo chupi na hulipwa kwa hayo Matangazo, kinyume na Vijana wa Tanzania ambao huvaa Mlegezo kwa kudhani ni Ufahari.

We kweli ushuzi.
 
Wanatafuta udhamini si unajua asilimia kubwa ya vijana wanapenda miteremko bila ya kupambana kadri awezavyo...
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana kupenda kuvaa milegezo yaani hadi nguo zao za ndani kuonekana nje,sasa sijui sababu nini,wangekuwa wanawake tungesema wanataka wanaume! au lah! vinginevyo,sasa hawa vijana sababu ni nini?.karibuni kwa maoni.

Wanamuiga 2 PAC
 
Nikimkuta mtu mzima amevaa mlegezo nitamshangaa,lakini hawa watoto was dotcom wala sishangai najua ni umri tu wakikua wataacha.

umri unazidiwa nguvu na maisha ya ujana!
 
Hawajui ya kwamba wenzetu mbele wanavaa milegezo ili kutangaza biashara za boxers zao
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana kupenda kuvaa milegezo yaani hadi nguo zao za ndani kuonekana nje,sasa sijui sababu nini,wangekuwa wanawake tungesema wanataka wanaume! au lah! vinginevyo,sasa hawa vijana sababu ni nini?.karibuni kwa maoni.

Wanataka kuolewa hao was..e.nge
 
Rais makamu wake na Waziri Mkuu hatathubutu kuwagusa wavaa Milegezo kwa sababu wengi Ni ndugu na jamaa zao hata IGP anawaigopa sana ndiyo maana hajawahi kuthubutu kutoa Tamko.

Dash...kweli we
we ushuzi haswaaa
 
Wanaiga wamarekani weusi,ukienda kwenye Jamie zao ni shidaa si mzee,mkubwa au mdogo wote ni mlegezo,ishakuwa Kama utamaduni kwa jamii za weusi na mpaka walatino nao Wanaiga
 
Wadau mm nasikitika sana mzee Sita kuchachua katiba pendekezwa kwa theluthi mbili,ivi wameshindwa kweli na wingi wao wa usisiemu kuweka kipengele cha kuwaingiza mwanzo wa jina langu sehemu ya shimo la nyuma,nina uhakika wangeshika adabu,au tupeleke barua za posa kwa wazazi wao.wanafaa kuolewa hawa.
 
Mlegezo ASILI yake ni marekani ...ambapo Kama mnaojuwa jela ukiingia Huvai MKANDA kwa Hiyo suruali inakua Kama inataka kudondoka na wewe inabidi utembee Huku umeishika ...watu ambao tuna miaka Zaidi ya 40 au chini kidogo Wakati tunakua Ndio Hii style iliingia kwenye wimbi la mabaharia Kurudi au Enzi Za hip hop inaingia....

Style ilikua kuinesha kuwa wewe ni Gang ( zamani kaka zetu walikuwa na neno Gangwe ....Hiyo miaka ya 80 ...baadaye 90 s wa katumia neno Gang ...au masela ) ....ili kutambulisha usela ...ilikua ujanja kukaa jela hata Kama uliwekwa sell ya Polisi ...na ishara kuwa wewe ushakaa jela ..ni kuvaa suruali ..mlegezo ..yaani jeans yako ya Lee au Kodray ...hufungi MKANDA na Wakati unatembea kuna SWAGA la kutembea Huku umeishikilia surukal kwa mbele ....kwa SWAGA ili isidondoke Huku ukitembea kwa kunesa ,,..shingonj utavaa mnyororo wengine hadi kufuli ...kuashiria kuwa wewe ni gang na ushakaa jela ....,Sasa hapo mifukoni lazima UWE na bangi na lissler hata Kama uvuti ...basi tu ujanja ...na Trust ....watu walikuwa hawaharibiki Kama haya ma powder ....na most of them ...Sasa hivi ni wasomi tu wakubwa na VIONGOZI wenu ..tumeishi hivo

Miaka ya 2000 s ....mlegezo ulikuja na maana mpya ...inayoashiria USHOGA ...yaani ,...wanaita caught downing ....,kwa ishara zingine mlegezo ukamanisha kuwa uko tayari muda wowote kuvuliwa suruali ....zile SWAGA Za kutembea kwa kunesa kwa fujo ...zikabadiliwa na mwendo wa kinyoronyoro ....hata vijana wengi wa 80 to 90 wakiona hapa watakubali ....,Hii ikaendana na kutoga pua ..hadi ulimj kwa wanaume...na ikaendana na unyonge unaohusishwa na Madawa ya kulevya

Kwa Kifupi kwa Sasa sio ujanja kuvaa mlegezo .
 
Mashoga hawavai mlegezo ata siku moja, wengine wanachomekea kabisa.

Mlegezo ni swagger tu za street, hii style ilianzia huko Marekani kwenye jela moja kuna mchiz nguo alizopewa baadae zilimpwaya akageuza style.
Miongoni ya fasheni za hovyo kabisa kuvaliwa na vijana wa kizazi hiki, basi ni hii staili ya vijana wa sasa wanayoiita mlegezo aka kata K.

Huwa najaribu kuimagine hivi inawezekanaje kijana wa kiume avae huo mlegezo, halafu anapita mbele ya mama yake mzazi au mama mkwe wake bila wasiwasi wowote?!

Huo ni mmomonyoko wa maadili uliopitiliza.

Vijana wetu waTz watambue kuwa siyo kila kitu kinachofanyika Marekani ni cha kuiga.

Nadhani umefika wakati, kama ambavyo imewahi kufanyika wakatio fulani kwa wananchi kuwazomea waziwazi wadada waliokuwa wanakatiza mitaani na vimini vya kutisha, hadi sasa wadada wengi wameacha kabisa kuvaa vimini vifupi sana, nadhani imefika wakati kwa watanzania wote tunaopenda Taifa letu liwe na maadili mema, tuanze sasa kuwazomea waziwazi vijana wote kila watakapokuwa wanapita, wakiwa wamevaa hayo mavazi yso ya kishenzi ya mlegezo.

Naamini ni kwa njia hiyo peke yake, tutaweza kulirejesha Taifa letu kwenye mstari, badala ya kuliacha liendelee kuangamia na mmonyoko huo wa maadili uliopitiliza.
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana kupenda kuvaa milegezo yaani hadi nguo zao za ndani kuonekana nje,sasa sijui sababu nini,wangekuwa wanawake tungesema wanataka wanaume! au lah! vinginevyo,sasa hawa vijana sababu ni nini?.karibuni kwa maoni.
CHAULA RICH

Umeuliza swali zuri. Tatizo ni kwamba vijana wa siku hizi wanadhani kila kitu kinachofanywa na vijana wenzao nje ya nchi - majuu - kinafaa kuigwa. Huo ni ulimbukeni.

Asili ya uvaaji "mlegezo" ni kwenye jela za nchi za nje, ambapo uvaaji huu ulianzia nchini Uingereza.

Kwa vijana wanaoingia magerezani, walijifunza kwamba ukiwa pale - mfungwa - unapaswa kuwa na "bwana" wa kukulinda ili usiwe unapigwa na kuumizwa na wafungwa wenzako. Kwa hiyo ili upate "ulinzi" huo unapaswa kukubali kujihusisha na matendo ya usodoma. "Bwana" wako anakuwa ni mtu mzima, jabali, mwenye wafuasi wengi, ambao baada ya wewe kuwa "kundini" hakuna atakayekugusa mpaka akuchoke au ugombane naye na aamue kwamba huna faida naye tena.

"Ukishatemwa" kwenye kundi la "Bwana" hiyo inakubidi uvae "mlegezo" ili "bwana" mwingine ajue kwamba sasa "uko huru" na yeye anaweza "kukuchukua".

Mtindo huu ulienea kwa kasi sana kwenye magereza ya Uingereza hadi Marekani, na unaonekana kuwa jambo la kawaida.

Hivyo basi, uvaaji huu unahusika kabisa na vitendo vya kishoga, na mashoga wengi wa kiume ambao hawako jela huvaa suruali zao kwa namna hiyo ili kujitambulisha kwa mashoga wengine, haswa kwa vijana.

Swali ni, je, hawa WAJINGA wanaovaa mlegezo wanajua maana yake?

Jaribuni kuwaambia kwamba uvaaji huo ni wa kishoga, muone kitakachotokea.

Nimemaliza.
 
Last edited by a moderator:
ofcoz hivi vitu vinaendana na umri, kuna Umri uwezi kufanya haya.
Hakuna suala la umri, kijana mwenye kujielewa hawezi kuvaa suruali kwa staili hiyo ya hovyo kabisa ya mlegezo.
 
CHAULA RICH

Umeuliza swali zuri. Tatizo ni kwamba vijana wa siku hizi wanadhani kila kitu kinachofanywa na vijana wenzao nje ya nchi - majuu - kinafaa kuigwa. Huo ni ulimbukeni.

Asili ya uvaaji "mlegezo" ni kwenye jela za nchi za nje, ambapo uvaaji huu ulianzia nchini Uingereza.

Kwa vijana wanaoingia magerezani, walijifunza kwamba ukiwa pale - mfungwa - unapaswa kuwa na "bwana" wa kukulinda ili usiwe unapigwa na kuumizwa na wafungwa wenzako. Kwa hiyo ili upate "ulinzi" huo unapaswa kukubali kujihusisha na matendo ya usodoma. "Bwana" wako anakuwa ni mtu mzima, jabali, mwenye wafuasi wengi, ambao baada ya wewe kuwa "kundini" hakuna atakayekugusa mpaka akuchoke au ugombane naye na aamue kwamba huna faida naye tena.

"Ukishatemwa" kwenye kundi la "Bwana" hiyo inakubidi uvae "mlegezo" ili "bwana" mwingine ajue kwamba sasa "uko huru" na yeye anaweza "kukuchukua".

Mtindo huu ulienea kwa kasi sana kwenye magereza ya Uingereza hadi Marekani, na unaonekana kuwa jambo la kawaida.

Hivyo basi, uvaaji huu unahusika kabisa na vitendo vya kishoga, na mashoga wengi wa kiume ambao hawako jela huvaa suruali zao kwa namna hiyo ili kujitambulisha kwa mashoga wengine, haswa kwa vijana.

Swali ni, je, hawa WAJINGA wanaovaa mlegezo wanajua maana yake?

Jaribuni kuwaambia kwamba uvaaji huo ni wa kishoga, muone kitakachotokea.

Nimemaliza.

Hiyo ni Genesis kwa Ulaya na Marekani ya 2000 s to above ....hasa Baada ya uvutaji wa Madawa ya kulevya kuzidi pia ....Kama nilivoelezea hapo Juu ....caught downing means "he" is ready kuvuliwa suruali anytime

Ila kabla gangs waliokuwa wanatoka jela ilikua kielelezo cha kuonesha Jamii kuwa they are hardened ..and hardcores ..Ndio maana ukikumbuka wale hardcore rappers Kama Easy E, Dr Dre ,Snoop Dogg, doggy Pound , Big Small Na junia mafia ...2pac..etc wote walivaa milegezo na minyororo in reminence of Jail ....na lazima wakiimba wa dedicate all the niggers who still rotting in the jail cells ....Sioni Siku hizi wakivaa tena ...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom