Kwanini watu wanapenda kuvaa milegezo?

Kwanini watu wanapenda kuvaa milegezo?

Mashoga hawavai mlegezo ata siku moja, wengine wanachomekea kabisa.

Mlegezo ni swagger tu za street, hii style ilianzia huko Marekani kwenye jela moja kuna mchiz nguo alizopewa baadae zilimpwaya akageuza style.

Nikimkuta mtu mzima amevaa mlegezo nitamshangaa,lakini hawa watoto was dotcom wala sishangai najua ni umri tu wakikua wataacha.
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana kupenda kuvaa milegezo yaani hadi nguo zao za ndani kuonekana nje,sasa sijui sababu nini,wangekuwa wanawake tungesema wanataka wanaume! au lah! vinginevyo,sasa hawa vijana sababu ni nini?.karibuni kwa maoni.

Wavaa Milegezo Tanzania ni Watemi na wababe pia ndiyo wapiga kura wakuu, ndiyo Maana Waziri wa Utamaduni, waziri wa Utawala bora, IGP na Waziri wa mambo ya Ndani wanawaogopa sana, hatathubutu kukemea hilo na haitakaa itokee labda Chadema wakivaa Mlegezo hapo utawasikia wanatoa Amri na Sheria za kudhibiti maadili zitazingatiwa, Hata Viongozi wa Upinzani akina Lipumba, mbowe, slaa, mbatia nk , hawana Sauti mbele ya Wavaa Milegezo na vimini na vinguo vya hovyo. Chezea Mseveni.... Kule Uganda hukuti watu wanavaa Milegezo kama Tz.
 
Rais makamu wake na Waziri Mkuu hatathubutu kuwagusa wavaa Milegezo kwa sababu wengi Ni ndugu na jamaa zao hata IGP anawaigopa sana ndiyo maana hajawahi kuthubutu kutoa Tamko.
 
Nikimkuta mtu mzima amevaa mlegezo nitamshangaa,lakini hawa watoto was dotcom wala sishangai najua ni umri tu wakikua wataacha.

ofcoz hivi vitu vinaendana na umri, kuna Umri uwezi kufanya haya.
 
Hahaha duuh sina hamu na haya matoto haya.

Wapo juu ya Sheria za Maadili hata ile Kamati ya maadili iliyowahoji Tibaijuka na chenge wapo juu yao, yaani wao wapo tayari kuachia makalio nje pasipo kuulizwa swali na Mtu.
 
Kenge gani anatetea ujinga humu? Ati style nyammmbaaf mbona ulipokua mchanga wazazi wako hawakukuvisha "Visepe" out of kijambio!?

Wanaotetea Mlegezo watakuwa wana hobi ya kuangalia Makalio ya wanaume Wenzao, bila shaka huyo atakuwa ni Mtu wa Mombasa.
 
Serikali ya Tanzania huwa ni wazito sana kwenye kukemea na kulaani Tamaduni na Tabia mbovu mbovu kama Hizi, lakini ni wepesi wa kukabiliana na Waandamanaji, Wavaaji Milegezo ni wapiga kura na ndugu wa Viongozi wa Tanzania ndiyo maana wanaogopa kufanya maamuzi magumu.
 
Hii style ya kufunika miguu na kuacha makalio nje sijui imetokea wapi?
 
Mashoga hawavai mlegezo ata siku moja, wengine wanachomekea kabisa.

Mlegezo ni swagger tu za street, hii style ilianzia huko Marekani kwenye jela moja kuna mchiz nguo alizopewa baadae zilimpwaya akageuza style.
Marekani kwenyewe Mlegezo kwa sasa ni Marufuku panda Ndege za America Airline kuna Matangazo ndani ya ndege yanakataza Uvaaji Mlegezo,na kuna Majimbo hawataki kusikia wala kuona kitu Mlegezo, Viwanda vya Chupi na boxers huweka Lebo kwenye nguo za ndani ili wazitangaze kwenye Matamasha ambapo huvaa Milegezo kipindi cha show ili kutangaza hizo chupi na hulipwa kwa hayo Matangazo, kinyume na Vijana wa Tanzania ambao huvaa Mlegezo kwa kudhani ni Ufahari.
 
Mkuu hiyo ID yako imenishtua....
 
kwa kweli mimi huwa nadind sha kabisaa, na huwa nawapapasa tako lao hasa kwenye bus maana huwa wanataka wanaume wa kuwasugua

Uganda wao wapo imara Rais Mseveni alithubutu na sasa hakuna Uvaaji wa kijinga jinga kama wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom