Kwanini watu wanapenda kuvaa milegezo?

Kwanini watu wanapenda kuvaa milegezo?

Mashoga hawavai mlegezo ata siku moja, wengine wanachomekea kabisa.

Mlegezo ni swagger tu za street, hii style ilianzia huko Marekani kwenye jela moja kuna mchiz nguo alizopewa baadae zilimpwaya akageuza style.

Watanganyika tuamke sasa tusiishi kwa mazoea mambo ya kuishi kwa kukariri lifestyle ya mbele hayana nafasi kwa sasa, kilichobaki ni kuiga Tekinologia bora tu na maendeleo vingine si Lazima tuwaige yatupasa na sisi tubuni Mavazi mazuri ili na wao watuige sisi isiwe kila siku kuwaiga wao tu.
 
Biashara matangazo Yaani imo

Wenzao huku marekani huwa wanalipwa na makampuni wanayowatangazia lakini Tanzania na hasa hapo Dsm imekuwa fasheni kwa wale vijana wapenda mambo ya mbele mbele na hakuna wanacholipwa zaidi ya shida ya kupandisha nguo kila Dk inaposhuka wakati akiwa anatembea.
 
Hahahahahaha! Wengine nasikia hadi kanzu wanalegeza.

Mazoea yana Taabu sana, ukizoea kitu ni shiiiiiiida ni bora watu wakaanza mapema kuzoea kuvaa vizuri vinginevyo huko mbeleni itakuwa balaa.
 
Wanataka kushikishwa ukuta.....mwanaume mwenye akili kamili hawezi kuvaa mlegezo.
 
Acha kutetea vitu visivyofaa, inawezekana nawe ukawa miongoni ya hao wavaaji wa hiyo milegezo.

Hivi hao vijana kutuonyesha maboxer yao, wengine hawajayafua hadi wiki moja, kwako unaona imekaa sawa tu?!

Milegezo nimevaa sana sikatai, ila sasa umri hauniruhusu sivai tena wala hakuwai tokea mtu kunikataza .

Nachoshangaa wewe kuona kitu usichopenda basi liwe jambo la kitaifa, yani mlegezo kaweka mwingine we unakosa raha kwa nini. Angaika na mambo yako.
 
Watanganyika tuamke sasa tusiishi kwa mazoea mambo ya kuishi kwa kukariri lifestyle ya mbele hayana nafasi kwa sasa, kilichobaki ni kuiga Tekinologia bora tu na maendeleo vingine si Lazima tuwaige yatupasa na sisi tubuni Mavazi mazuri ili na wao watuige sisi isiwe kila siku kuwaiga wao tu.

Huo ni utashi wa mtu isiwe ishu ya kulazimisha. Wewe iga technology mwenzio aige mlegezo maisha yanaendelea.
 
Kutojua thamani ya maisha yao afu pia hawana malengo mazuri na maisha yao.
 
ili wakatike vizuri wakati wa kutembea,,

Ohoo Miss Chagga, ungekuwa huku niliko ningekuwekea ulinzi, yani wakishasoma comment yako watakusaka si unajua wanatumia ile kitu ya B Marley na viroba!!!!!! Sasa wakikatika wakati wa kutembea tuwafanyaje?
 
Huo ni utashi wa mtu isiwe ishu ya kulazimisha. Wewe iga technology mwenzio aige mlegezo maisha yanaendelea.

Shusha kidogo hiyo sarawili yako, tena, tena, bado kodogo, eeeeh hapo hapo, sasa anza kutembea mimi nipo nyuma yako teh teh, Miss Chagga angalia mwendo wa kijana
 
Unajidai kukemea milegezo halafu wewe mzinifu dunia nzima....kwahiyo watu
wote wavae kama pepe kale?
 
Shusha kidogo hiyo sarawili yako, tena, tena, bado kodogo, eeeeh hapo hapo, sasa anza kutembea mimi nipo nyuma yako teh teh, Miss Chagga angalia mwendo wa kijana

Wakati wewe ukiwa nyuma yangu mimi nitakuwa nyuma ya wowowo la bimkubwako.
 
1425375632345.jpg View attachment 231
 
Attachments

  • 1425375740965.jpg
    1425375740965.jpg
    15.9 KB · Views: 90
Huo ni ujinga ambao haujadhibitishwa dhahiri au ni ujanja kwa waonavyo wao.....
 
Milegezo nimevaa sana sikatai, ila sasa umri hauniruhusu sivai tena wala hakuwai tokea mtu kunikataza .

Nachoshangaa wewe kuona kitu usichopenda basi liwe jambo la kitaifa, yani mlegezo kaweka mwingine we unakosa raha kwa nini. Angaika na mambo yako.
Watu wakiamua kuushi kivyao vyao pasipo kukanyana wala kukosoana ina maana Hayo ni maisha ya Hatari sana, Wavuta Bangi,vibaka wala unga na Wavaa Milegezo watafurika kama nzige, lazima tuishi kwa maadili kama wewe ulivyoamua kuacha Mlegezo baada ya kujua kuwa ni Aibu kuiacha Tigo wazi,wasihi waacha using'ang'anie Tamaduni zisizo na tija.
 
Back
Top Bottom