Paa likizidi ukuta haipendezi lazima pia uzingaie hiyo. Nyumba iko bondeni then utie paa refu unakuwa kama mwamvuli😆😆Nakataa paa refu kushinda ukuta Wala huwa sio nzuri kimuonekano..
Ukitaka muonekano mzuri paa liwe na urefu pungufu ya ukuta..
Ukuta mita 3 afu paa mita 6 Kuna uzuri gani hapo zaidi ya kuwa Kama kitu kimefunikwa? Shepu ya Uyoga.