Kwanini watu huoga baada ya kujamiiana?

Kwanini watu huoga baada ya kujamiiana?

Demu wang alikua ananiboa sana doch moja tu kaenda kuoga yaani hana kajasho ata kidogo ka kupandishia mzuka, kwa sababu ya usafi ni vema kuosha vikojoleo tu coz mda wote unakoga mwili unakua wa baridi sana.
Kwa malaya sio mbaya coz wanatumia ujanja huo kuwadanganya wanaume unaona kitu kinang'aa kumbe kimeliwa nusu dakika iliyopita.
Wengine usista du mwingi cha kwanza tu kaosha k anarudi ya baridi ukiingiza kamusoko inanywea yenyewe
 
Sasa ndo naelewa kwanini kuna watu wanatoa harufu za ajabuajabu hata zisizoelezeka na mwingine utakuta ni harufu ya m.a.v.i kabisaaaa sasa naelewa kwann.

Na hii ipo sana kwene daladala za mapema asubuh. Chunguza utajionea mwenyewe, acheni tabia mbovu mnatuumiza.
 
hahahaaa, uko mbali sana yani kama nakuona maili 200 vile! kumbe ndoo maana tunakumbana na halufu kali sana kwa watu wengine kisa nikutokuoga baada ya tendo la ndoa jifunze kuoga wewe umalizapo halufu mbaya unakela watu wengine.
 
Aisee hatari sana,hizo manii mbona wengine wanakula kabisa?:O:'🙂-P
 
Unaoga ili kuwaje? Manii ni mbegu zinazosababisha mtoto kumbe mtoto ni uchafu!!
 
Hivi vitoto vya primary vinakuja kufanya nini huku..????

Maswali ya kise*ge haya usitupotezee muda.... Muulize mzazi wako ..... Halafu tunashngaa haya matoto yanapata ZERO... SHenzi kabisa.... KAsome boya wewe....

Kama utakula hayo mapenzi endelea.... Tutakukuta barabarani na unaosha vioo vya magari....Pussy nyau...
 
Huwa naoga karibia kia siku lkn siyo kwa sababu ya kujamiiana bali kwa sababu nyingine zote za usafi, lkn sijaelewa ni kwa nini watu wanasema ukimaliza ni lazima ukaoge, kwani kuna uchafu gani kwenye kujamiiana?
Kuna makopo na sandarrusi
 
Tunaoga kuondoa harufu itokanayo Na majimaji yaliyotoka katika vifaa vya shughuli tajwa hapo juu.
 
Huwa naoga karibia kia siku lkn siyo kwa sababu ya kujamiiana bali kwa sababu nyingine zote za usafi, lkn sijaelewa ni kwa nini watu wanasema ukimaliza ni lazima ukaoge, kwani kuna uchafu gani kwenye kujamiiana?

ww ukimaliza kuduu huwa unaoga au huogii?
 
ww ukimaliza kuduu huwa unaoga au huogii?


Sijawahi kuoga kwa sababu ya kulala na Demu wangu nimpendae kuliko chochote Duniani, ila nimeoga kwa sababu usafi na kuchangamsha mwili!
 
Sababu hasa ni ipi? Kwani nimesikia wengi sana wakisema ni lazima kuoga baada ya kumaliza kujamiiana, mpaka leo sijaelewa sababu hasa ni ipi?

Swali lako halina tofauti na kuuliza kwanini Mtu akijamba inzi hawamkauki mwilini au eneo alilopo?
 
Swali lako halina tofauti na kuuliza kwanini Mtu akijamba inzi hawamkauki mwilini au eneo alilopo?


Hiyo pia ni mpya sijawahi kuona wala kusikia kwamba ukijamba nzi wanakuzunguka!
 
Hiyo pia ni mpya sijawahi kuona wala kusikia kwamba ukijamba nzi wanakuzunguka!

Kuna " kupumua " na " kujamba ". Wewe unaongelea kupumua sasa usiombe ukumbane na mjambaji utaniletea humu mrejesho.
 
Back
Top Bottom