No, ni nchi nzima. Kwasiku nzima tena kwenye ngome ya CCM unaandikisha watu 6. Hali si Nzuri kwa kweliUngesema Chadema ndio wamekata tamaa ingependeza zaidi.Arusha na Moshi nimepita kule chadema wengi wameapa hawaji piga kura milele.Sijajua sababu Ni Nini.
Chirwa vipi unaota au?Nilipokurudisha nyumbani jana usiku mama yako alikugombeza? Cheni niliyokuahidi nitakununulia.
Waache wajiibie wenyewe kura zao siwezi kuwa sehemu ya wiziNajua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia
Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamsha ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizo.
Ungesema Chadema ndio wamekata tamaa ingependeza zaidi.Arusha na Moshi nimepita kule chadema wengi wameapa hawaji piga kura milele.Sijajua sababu Ni Nini.
Huwezi kususia nchi yako. Waswahili wanasema Ukisusa? Watu waende wakajiandikishe na wajitokeze wapige kura.
Najua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia
Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamsha ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizo.
Halafu kura zisipotosha mnasema mmeibiwa
Huo Uchaguzi haujawahi kuwa mzuka, binafsi katika maisha yangu sijawahi hata kusikia watu wakiuongelea, kwanza naweza kusema huu wa sasa hivi hata unasikika klk zilizopita.
Wameshajua hakuna upinzani tena Saccos tayari imeshakufa kifo cha mende! Mbendembende!
Halafu utashangaa namba zitakavyopaishwa kama kishada cha pwani!
Sasa si ndo kususa nchi? Kama unajiachia tu yeyote aongoze sababu hutaki kupiga kura maana yake ni nn? Hata kama Kuna wizi kura zinapokuwa nyingi ndivyo ugumu wa kuiba unavyoongezeka na kugomea matokeo kwa wananchi kunavyokuwa na nguvu. Nenda kule umasaini kwenye ukabila umuweke Mpare cjui mchaga halafu uibe kura useme kashinda kampita mtu wao uone kama watakuelewa.Hatujasisia nchi bali tumesusia chaguzi za kishenzi.