Kwanini Watanzania wengi wanaonekana hawana hamasa ya kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019?

Ungesema Chadema ndio wamekata tamaa ingependeza zaidi.Arusha na Moshi nimepita kule chadema wengi wameapa hawaji piga kura milele.Sijajua sababu Ni Nini.
No, ni nchi nzima. Kwasiku nzima tena kwenye ngome ya CCM unaandikisha watu 6. Hali si Nzuri kwa kweli
 
Ni wapumbavu tu ndio wanafikiri eti kuna uchaguzi na kinachofurahisha zaidi ni kuwa wapo wachache mno.
 
Nikirejea tabia za return officers wa tume kwenye chaguzi za marudio za awamu hii, kutopiga kura ni best option.
 
Waache wajiibie wenyewe ku
Najua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia

Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamsha ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizo.
Waache wajiibie wenyewe kura zao siwezi kuwa sehemu ya wizi
 
Uchaguzi ni kupoteza wakati tu!

Kama magufuli na watu wake wanaweza kutawala milele basi na watawale madhali wanaijenga na kuisaidia nchi!
 
Zamani tulihitaji kitambulisho cha kadi ya mpiga kura tu ili uingie popote na upewe huduma. Hata kumtoa mtu segerea ukiwa na kadi ya mpiga kura ulikubaliwa. Sasa nina National Id nina shida gani??
Hao wachaguliwa wesha chagulika tiyari wanangoja kutangazwa. Nashauri hiyo fedha wanayoliipwa hao waandikaji tuiite kama ni "Kutakatisha fedha tu" ili iwe halali kuliwa
 
Mtoa mada una umri gani?
Kwanza tuanzie hapo
Miaka yote chaguzi za serikali za mitaa wanaopiga kura wanajulikana,,
NI kina mama wa Uswazi pamoja na wazee vikongwe,
Ukiona vijana wanapiga kura chaguzi za serikali za Mitaa usipate tabu mwanangu wanapiga kura ya maslahi tayari wameshakula kitu kidogo
Mm nimeshuhudia pale Manzese 2014
Mgombea anakwenda kwa vijana anamwaga mpunga katika vikundi vya wabeba magunia ya mahindi mashine,
Baada ya dili kukamilika ya kupewa mpunga advance wanakwenda kujiandikisha kwa wingi
Siku ya kupiga kura wanamaliziwa kilichobaki,
Lakini bila ahadi ya fedha vijana awaendi kupiga kura,
Kura wanapiga kina mama na wazee.. Miaka yote..
 
Nashukuru sanaa kwa hii feedback maana kila nnapomaliza kaz zangu hua nkienda kijiwe nawaeleza namna ambavyo wanaua ngaz ya kupandia kwa wakubwa kwa kuwapigia kura ko kila cku huwa nawabrainwash wafuasi kama kumi hiv kuhusiana upuuzi wa kwenda kuweka folen kupiga kura huku wakisahau kujishughulisha kwa ajil ya kulisha familia zao
 
Ungesema Chadema ndio wamekata tamaa ingependeza zaidi.Arusha na Moshi nimepita kule chadema wengi wameapa hawaji piga kura milele.Sijajua sababu Ni Nini.

Ni kweli cdm hawana sababu ya kupiga kura maana rais ameamua kutumia madaraka yake kukiua, na mojawapo ni kuhakikisha mgombea wa cdm hatangazwi mshindi. Je hao ccm wanaopendwa mbona vituo vya kujiandisha hawajazi? Wananchi ambao hawana vyama mbona nao hawaendi kujiandikisha? kwa uchache huo wa wapiga kura, basi inaonekana hao cdm ndio wengi.
 
Aakh acha tuwachie polisi wapige kura wao sisi tutafute ugali wa watoto maana wakiamua kuiba waibee
Najua wengi watanipinga ila ukweli ni kwamba watu wengi wanaonekana hawana mudi wala mpango wa kupiga kura wala kushiriki uchaguzi mdogo huu wa serikali jambo hili nimelishuhudia

Safari hii kuna gali linapita mtaani kwangu likihamasishe watu wakajisajili majina yao ili waweze kushiriki uchaguzi huu wa serikali mtaa kitu nilichoshangaa watu wengi wako bize na shughuli zao hata hawamsikilizi mtoa matangazo, wengi yaani tofauti na zamani nilikuwa na hamsha hamsha ya uchaguzi ila safari hiii sijui ni mini tatizo.
 
Halafu kura zisipotosha mnasema mmeibiwa

Safari hii hatusemi tumeibiwa maana kama ni kuibiwa hilo liko wazi, ila wapiga kura tunaojitambua tumesema hatushiriki kupiga kura. Hivyo msiteseke kutoka na mabox ya kura kwenda kujaza kura za ccm kwa uratibu wa jeshi la polisi, bali kura zote ni zenu, na mkiona wapiga kura ni wachache, tungeni sheria ili wanafunzi nao wapige, na muwaambie ni uzalendo kuipigia kura ccm. Ili kwetu sisi ni mwiko kushiriki huo ushenzi unaoitwa uchaguzi.
 
Huo Uchaguzi haujawahi kuwa mzuka, binafsi katika maisha yangu sijawahi hata kusikia watu wakiuongelea, kwanza naweza kusema huu wa sasa hivi hata unasikika klk zilizopita.

Usitake kupotosha, uchaguzi wa mwisho wa serekali za mitaa kabla ya Magufuli kuingia madarakani demokrasia ilipokuwa ina nafuu, watu tulishiriki kwa wingi mno. Hivi sasa watu wameupuuza baada ya rais kutumia madaraka yake kunajisi box la kura.
 
Wameshajua hakuna upinzani tena Saccos tayari imeshakufa kifo cha mende! Mbendembende!

Ccm wajazane basi wakijiandikisha kwa wingi. Si mnapika data kwamba ccm ina wanachama 12m+? Jiandikisheni basi hata 7m. Halafu watu hawajiandikishi ina maana hawaoni reli, ndege nk?
 
Halafu utashangaa namba zitakavyopaishwa kama kishada cha pwani!

Uzuri ni kwamba ukweli wa watu kutokutokea vituoni sio siri, wajichachague na vile hawana ridhaa ya umma hata wakiitisha vikao watu hawatokei. Watabaki wanajadiliana na hao wafuasi wao wachache.
 
Hatujasisia nchi bali tumesusia chaguzi za kishenzi.
Sasa si ndo kususa nchi? Kama unajiachia tu yeyote aongoze sababu hutaki kupiga kura maana yake ni nn? Hata kama Kuna wizi kura zinapokuwa nyingi ndivyo ugumu wa kuiba unavyoongezeka na kugomea matokeo kwa wananchi kunavyokuwa na nguvu. Nenda kule umasaini kwenye ukabila umuweke Mpare cjui mchaga halafu uibe kura useme kashinda kampita mtu wao uone kama watakuelewa.

Usipopiga kura ujue ushampigia usiyempenda.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom