Ushindi wa Dkt. Tulia waiteka Afrika, ajadiliwa kila kona

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,357
9,788
Ndugu zangu Watanzania,

Ni mtetemo,ni mtikisiko kwa Bara zima la Afrika na Dunia nzima kwa ujumla kutokana na ushindi wa kishindo alioupata na kuuvuna hapo jana wa kupata kura 172 kati ya kura 303 sawa na 57%.

Ni ushindi wa kihistoria na ulioacha gumzo Bara zima la Afrika,ni ushindi uliomfanya Dr Tulia kuwa mwanamke wa kwanza kutoka Barani Afrika kushinda na kushika nafasi ya urais wa umoja wa mabunge Duniani,lakini pia anakuwa mwanamke wa Tatu kushika nafasi hiyo tangia kuanzishwa kwa umoja huo akitanguliwa na wanawake wawili ambapo wa kwanza ni Najma Heptulla kutoka Nchini India Mwaka 1999-2002 na mwingine ni Gabriela cuevas kutoka Mexico Mwaka 2017-2020.

Dr Tulia amewakosha ,kukonga mioyo na kuteka hisia za watu wengi sana barani Afrika na nje ya Afrika kutokana na uwezo mkubwa na wa hali ya juu aliouonyesha katika kujieleza,kujenga hoja ,kujiamini na kupangilia hoja kwa mtiririko ulioteka hisia za wengi. Wengi wamejivunia Dr Tulia kwa namna alivyoliheshimisha Bara la Afrika kwa kuonyesha uwezo binafsi na wakiwango cha juu wenye kuonyesha ufahamu na uelewa wa mambo mengi na hali iliyopo na kuendelea Duniani kwote.

Kwa hakika Tanzania na watanzania tukiongozwa na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan tuna kila sababu ya kujivunia mafanikio haya ya Dr Tulia, kwa kuwa ametuheshimisha sana kama Taifa, Anaendelea kuwa mfano bora na wa kuigwa kwa mabinti wengi sana katika kuweza kujiamini katika kutimiza ndoto zao na kuwa yeyote pale watakapofanya juhudi na bidii katika masomo yao. Dr Tulia anabaki kama alama ya mfano katika kizazi hiki cha mabinti wengi kinachochipua na kukua kwa sasa.

Ushindi wake utaamsha morali kwa mabinti wengi, utaamsha matumaini kwa mabinti wengi waliokuwa wanahisi hawana nafasi ya kuweza kufika mbali pasipo kushikwa mikono na kubebwa .watajuwa kuwa ni juhudi binafsi,kujituma, nidhamu, bidii katika kazi na masomo, kujiamini, kumcha na kumtumainia Mungu kwa kila jambo ni miongoni mwa vitu vitakavyowafikisha popote wanapotaka kufika katika ulimwengu huu pasipo kujali familia walizotoka na hali za kiuchumi kwa familia zao.

Rai yangu kwa dada yangu mh Dkt Tulia ni kuhakikisha kuwa Anaendelea kulinda imani na heshima hiyo kubwa aliyopewa na wajumbe, huo ni mkopo anaopaswa kuulipa kwa kuchapa kazi kwa bidii, kutenda haki kwa wote, kuwaunganisha wote na kutoa ushirikiano kwa wote pasipo ubaguzi wa aina yoyote na kwa misingi ya aina yoyote.

Binafsi sina shaka naye juu ya uwezo wake na juu ya kulipa deni hilo kwa kutoa utumishi uliotukuka na wenye kuleta matokeo chanya na yenye kuleta nuru kwa walimwengu, kwa kuifanya Dunia kuwa mahali salama penye kutawaliwa kwa amani, upendo, umoja, mshikamano, masikilizano na maelewano.kuhakikisha kuwa makundi yote katika jamii yanasikika sauti zao badala ya kukandamizwa.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni mtetemo,ni mtikisiko kwa Bara zima la Afrika na Dunia nzima kwa ujumla kutokana na ushindi wa kishindo alioupata na kuuvuna hapo jana wa kupata kura 172 kati ya kura 303 sawa na 57%. Ni ushindi wa kihistoria na ulioacha gumzo Bara zima la Afrika,ni ushindi uliomfanya Dr Tulia kuwa mwanamke wa kwanza kutoka Barani Afrika kushinda na kushika nafasi ya urais wa umoja wa mabunge Duniani,lakini pia anakuwa mwanamke wa Tatu kushika nafasi hiyo tangia kuanzishwa kwa umoja huo akitanguliwa na wanawake wawili ambapo wa kwanza ni Najma Heptulla kutoka Nchini India Mwaka 1999-2002 na mwingine ni Gabriela cuevas kutoka Mexico Mwaka 2017-2020.

Kwa hakika Tanzania na watanzania tukiongozwa na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan tuna kila sababu ya kujivunia mafanikio haya ya Dr Tulia,kwa kuwa ametuheshimisha sana kama Taifa, Anaendelea kuwa mfano bora na wa kuigwa kwa mabinti wengi sana katika kuweza kujiamini katika kutimiza ndoto zao na kuwa yeyote pale watakapofanya juhudi na bidii katika masomo yao. Dr Tulia anabaki kama alama ya mfano katika kizazi hiki cha mabinti wengi kinachochipua na kukua kwa sasa.

Ushindi wake utaamsha morali kwa mabinti wengi,utaamsha matumaini kwa mabinti wengi waliokuwa wanahisi hawana nafasi ya kuweza kufika mbali pasipo kushikwa mikono na kubebwa .watajuwa kuwa ni juhudi binafsi,kujituma, nidhamu,bidii katika kazi na masomo, kujiamini,kumcha na kumtumainia Mungu kwa kila jambo ni miongoni mwa vitu vitakavyowafikisha popote wanapotaka kufika katika ulimwengu huu pasipo kujali familia walizotoka na hali za kiuchumi kwa familia zao.

Rai yangu kwa dada yangu mh Dkt Tulia ni kuhakikisha kuwa Anaendelea kulinda imani na heshima hiyo kubwa aliyopewa na wajumbe, huo ni mkopo anaopaswa kuulipa kwa kuchapa kazi kwa bidii,kutenda haki kwa wote,kuwaunganisha wote na kutoa ushirikiano kwa wote pasipo ubaguzi wa aina yoyote na kwa misingi ya aina yoyote.

Binafsi sina shaka naye juu ya uwezo wake na juu ya kulipa deni hilo kwa kutoa utumishi uliotukuka na wenye kuleta matokeo chanya na yenye kuleta nuru kwa walimwengu, kwa kuifanya Dunia kuwa mahali salama penye kutawaliwa kwa amani, upendo,umoja, mshikamano,masikilizano na maelewano.kuhakikisha kuwa makundi yote katika jamii yanasikika sauti zao badala ya kukandamizwa.

Unatafuta teuzi kwa kasi ili kujaza utumbo wako mpana hapo Lumumba
 
Hahaa ana jaza nini? 🤣🤣🤣
images.jpeg
 
Watu wanatetemeka na kujadili siyo eeh!
Hahahah
 
Watanzania hatuna uelewa tunasifia Sofia bila kujitambua na kutafakari
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni mtetemo,ni mtikisiko kwa Bara zima la Afrika na Dunia nzima kwa ujumla kutokana na ushindi wa kishindo alioupata na kuuvuna hapo jana wa kupata kura 172 kati ya kura 303 sawa na 57%.

Ni ushindi wa kihistoria na ulioacha gumzo Bara zima la Afrika,ni ushindi uliomfanya Dr Tulia kuwa mwanamke wa kwanza kutoka Barani Afrika kushinda na kushika nafasi ya urais wa umoja wa mabunge Duniani,lakini pia anakuwa mwanamke wa Tatu kushika nafasi hiyo tangia kuanzishwa kwa umoja huo akitanguliwa na wanawake wawili ambapo wa kwanza ni Najma Heptulla kutoka Nchini India Mwaka 1999-2002 na mwingine ni Gabriela cuevas kutoka Mexico Mwaka 2017-2020.

Dr Tulia amewakosha ,kukonga mioyo na kuteka hisia za watu wengi sana barani Afrika na nje ya Afrika kutokana na uwezo mkubwa na wa hali ya juu aliouonyesha katika kujieleza,kujenga hoja ,kujiamini na kupangilia hoja kwa mtiririko ulioteka hisia za wengi. Wengi wamejivunia Dr Tulia kwa namna alivyoliheshimisha Bara la Afrika kwa kuonyesha uwezo binafsi na wakiwango cha juu wenye kuonyesha ufahamu na uelewa wa mambo mengi na hali iliyopo na kuendelea Duniani kwote.

Kwa hakika Tanzania na watanzania tukiongozwa na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan tuna kila sababu ya kujivunia mafanikio haya ya Dr Tulia, kwa kuwa ametuheshimisha sana kama Taifa, Anaendelea kuwa mfano bora na wa kuigwa kwa mabinti wengi sana katika kuweza kujiamini katika kutimiza ndoto zao na kuwa yeyote pale watakapofanya juhudi na bidii katika masomo yao. Dr Tulia anabaki kama alama ya mfano katika kizazi hiki cha mabinti wengi kinachochipua na kukua kwa sasa.

Ushindi wake utaamsha morali kwa mabinti wengi, utaamsha matumaini kwa mabinti wengi waliokuwa wanahisi hawana nafasi ya kuweza kufika mbali pasipo kushikwa mikono na kubebwa .watajuwa kuwa ni juhudi binafsi,kujituma, nidhamu, bidii katika kazi na masomo, kujiamini, kumcha na kumtumainia Mungu kwa kila jambo ni miongoni mwa vitu vitakavyowafikisha popote wanapotaka kufika katika ulimwengu huu pasipo kujali familia walizotoka na hali za kiuchumi kwa familia zao.

Rai yangu kwa dada yangu mh Dkt Tulia ni kuhakikisha kuwa Anaendelea kulinda imani na heshima hiyo kubwa aliyopewa na wajumbe, huo ni mkopo anaopaswa kuulipa kwa kuchapa kazi kwa bidii, kutenda haki kwa wote, kuwaunganisha wote na kutoa ushirikiano kwa wote pasipo ubaguzi wa aina yoyote na kwa misingi ya aina yoyote.

Binafsi sina shaka naye juu ya uwezo wake na juu ya kulipa deni hilo kwa kutoa utumishi uliotukuka na wenye kuleta matokeo chanya na yenye kuleta nuru kwa walimwengu, kwa kuifanya Dunia kuwa mahali salama penye kutawaliwa kwa amani, upendo, umoja, mshikamano, masikilizano na maelewano.kuhakikisha kuwa makundi yote katika jamii yanasikika sauti zao badala ya kukandamizwa.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Weka number zako zote.....subiri katibu tarafa...
 
Huna akili wewe,unajua Kwa nini hawakuhangaika na huo upuuzi?hakuna hata mzungu aliyegombea huo upuuzi
 
Ah wapi
 
Sure
 
Back
Top Bottom