Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Reasons for not expanding secondary education at rapid parce during Nyerere's period
(i)There was delibarate rationing of secondary schooling as part of the government effort to coordinate student enrollment with the nations man power development
-But remember education was competitive for the poor and the rich. The government paid all the costs for schooling even for community schools the goverment subsdized heavily
(ii) The was expansion of Technical schools andvocational training
(iii) Need for man power to revolutionalize agriculture however many Tanzanias were not ready to work in farms, all wanted to be employed!
(iii) There were also other social need to deal with at the time
Please find attached file and try to look on the figures and continue debating
Andindile:
Nimeshasema sana hapa ukumbini. Katika kipindi cha 1960-1980, nadharia iliyokuwepo kwenye nchi zilizoendelea ni kutoa misaada kwa nchi masikini hili nchi hizo zitumie misaada hiyo kukuza uchumi katika nchi zao.
Kuna misaada iliyotoka Bank ya dunia na mashirika mengine kwa wanachama wa vyombo hivyo. Misaada ya nchi tajiri ilitolewa kwa upendeleo kutokana na siasa za nchi hiyo.
Lakini nchi kama Sweden, Denmark, Norway, Finland na Netherland zilikuwa ni nchi Neutral katika kutoa misaada. Na nchi hizo zilitumia pesa nyingi sana kusaidia Tanzania. Katika kipindi cha miaka 1968-1981 zaidi ya billion 3 zilitumika kuisaidia Tanzania. Na mwaka 1981, misaada ilikuwa ya 600 Millioni.
Nia wahisani ilitaka kuona Tanzania inajitegemea. Lakini kila siku zikiendelea ndio nchi masikini zilivyoendelea kuomba misaada.
Tukirudi kwenye mada, mafanikio katika sekta ya elimu, afya, na huduma za jamii katika kipindi cha 1968-1980 hakikutokana na siasa safi, uongozi bora, mipango mizuri au fikra sahihi. Mafanikio yalitokana na misaada kutoka nje.
Kuanzia mwanzo wa 80s. Wahisani wamebadilisha jinsi ya kutupa misaada. Hata wachumi wengi ambao wanaunga mkono misaada kwa nchi masikini; wanakubali kuwa literacy rate has got nothing to do with economic growth.
Hivyo ongezeko la kujua kusoma na kuandika, huduma za hospitali vijijini na maji ya bomba. Ilikuwa ni Nadharia ya nchi zilizoendelea na World Bank kuwa kusoma na kuandika, maji safi na zahanati zinaweza kufanya uchumi kukua. Nadharia hiyo sasa ni invalid.
SAPs zilizotajwa katika paper uliyoleta hapa reinforce ambayo nayasema hapa. Wahisani wanaotupa misaada wana nadharia zao. Nia kubwa ya nadharia hizo ni nchi kama masikini kufikia economic growth ambayo itaondoa umasikini.