Kwanini Watanzania wamuachie Mungu?

Kwanini Watanzania wamuachie Mungu?

Sio kumwachia mungu nchi hii wasio jielewa ni wengi hata mafuriko badala ya kuya control wanamwachia Mungu hata kipindu pindu wanamwachia Mungu. Ignorance ni janga kwa hili taifa
 
Nadhani kuweka sawa hilo ni kuwa sio watanzania tu wanaopenda kusema wanauachia Mungu,hili ni tatizo la waafrika wote,tumekuwa hivyo toka kipindi cha utumwa, ukoloni mpaka leo tuna uhuru wa bendera,kwa karne nyingi tu waafrika wamekuwa supressed kwenye brains zao kwa kutumia dini zilizoletwa na wageni na Mungu,hivyo kutufanya tuwe wapumbavu mpaka leo,kila kitu tunamuachia Mungu matokeo yake ndio haya tuko nyuma,hatujielewi,hatujitambui tumekuwa viumbe wa kuabudu na kuamini dini za watu wengine kwa sababu our brains and minds have been supressed for so long,kwa ufupi hayo yote tunayosemaga kuwa tunamuachia Mungu,wala huyo Mungu hafanyi hata kimoja unless otherwise tungekuwa tunaabudu Mungu anayefanana na sisi,vinginevyo tutaendelea kuwa wapumbavu mpaka mwisho wetu kwa kuabudu Mungu wa Wayahudi au Allah wa Waaarbu na dini zao!
 
Hata Taifa Stars hawajitumi, hawajipi lishe nzuri. Siku ya mechi wanavaa hirizi na kuomba duwa kisha wanamwachia Mungu na kufungwa.
 
Jamani naomba mnisaidie, hivi hii ni hulka au tatizo au kukata tamaa? Imekuwa tabia ya watanzania wengi kupenda kumuachia Mwenyezi Mungu hata katika mambo ambayo yalikuwa ndani ya uwezo wao, nao ndo walitakiwa kuchukulia hatua;

Mfano:
1. Mtu anatapeliwa pesa, utasikia anasema namuachia Mungu, atanilipia (badala ya kukomaa na aliyemtapeli amrudishie, au nayeye amtapeli kitu kingine).

2. Mtu anaibiwa kitu, utasikia namuachia Mungu, ndiye atakayenilipia, (hachukui hatua yeyote)

3. Mtu anakuvunjia heshima, (hapa napo anamuachia Mungu, yaani hata kumlamba vibao viwili vitatu unashindwa hayo ni machache sana, ila kuna mengi ya namna hiyo, nadhani hata wewe ni mmoja ya wanaomuachia mwenyezi Mungu,

Tuache kumuachia Mungu mambo ambayo tunaweza kuyashughulikia wenyewe!! Tumuachie vile ambavyo vipo nje ya uwezo wetu, mfano mafuriko, kimbunga, ukame na mengine.

Jamaa amejaribu kutoa jibu

 
Last edited by a moderator:
"Namuachia mungu" ni kauli ya watu wenye umasikini na ufukara wa mawazo.

Ni wajinga tu hao. Huyo Mungu anayeachiwa maubaya kila siku ni wa wapi? Yule Mungu wa kawaida anasema kila mtu ajisaidie mwenyewe. Sio ajabu sana kusema Watz wengi ni wajinga kama alivyosema raisi wao wa zamani kwamba ni miliofa na mipumbavu.
 
Hata Lowassa ni mpango wa *mungu. Tumeanza na *mungu na tutamaliza na *mungu
 
Ni ushamba kumuachia Mungu kuvishughulikia vitu vilivyo ndani ya uwezo wako!!
 
Na ndo maana tuko hivi tulivyo kasababu tume muanchia Mungu bila ya kukumbuka Mungu humsaidia mtu anayejisaidia I hope nimeelewaka
 
Waafrika walisha fundishwa kuogopa kila kitu na tena walifundishwa kila kitu wamuachie mungu.
 
Hata Taifa Stars hawajitumi, hawajipi lishe nzuri. Siku ya mechi wanavaa hirizi na kuomba duwa kisha wanamwachia Mungu na kufungwa.

Hawajitumi halafu wanasema tunaomba watanzania mtuombee, ndo kumuachia Mungu kwenyewe, hahahaaaa
 
Hata Hi Post Tuna Mwachia Mungu T Maana Yey Ndie Ajuay
 
Back
Top Bottom