Kwanini Watanzania wamuachie Mungu?

Kwanini Watanzania wamuachie Mungu?

Watanzania ni tatizo duniani,hakuna kazi ngumu kama kuishi ndani ya Tz.Na chanzo ni ujinga.
 
Tz ni nchi ya aman na utulivu unaposema unamuachia mungu aman inakuepo na kwelu mungu hamtupi mja wake lazma tu alokufanyia ubaya yatamfika madhila aina yoyote tu
 
Mimi nilisubiri kwa hamu tuingie barabarani watu kimyaaaa,madai yao wamemuachia Mungu!
Inakera sana.

Kwanini usubiri,ungeanza kwanza kwenda pale kwa KOVA unamkata vibao viwili vitatu then watu wanauona ujasiri wako wa kupigania ukombozi ili Mamvi awe rais wanakufuata
 
Tz ni nchi ya aman na utulivu unaposema unamuachia mungu aman inakuepo na kwelu mungu hamtupi mja wake lazma tu alokufanyia ubaya yatamfika madhila aina yoyote tu

haufanyi kazi, haujitumi ktk kazi, unachangamoto lukuki za kimaisha hatimaye unakuja na neno "NAMUACHIA MUNGU" huu ni upumbafu na ulofa.

Taifa staz haifany mazoez ya kutosha {Maandalizi ya zimamoto} inataka tuwaombee kwa Mungu ili wakashinde.....huu ni upumbafu na ulofa

uwezo wa kufikiri kipekee unao,uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu unao, uwezo wa kutenda unao, uwezo wa kupata unao............ila hatimaye unakuja na habari ya "ANAJUA MUNGU" huu ni upumbafu na ulofa.

Yesu mwenyewe alisema "tafuteni nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa......."
 
Nanukulu, halafu nilitaka kupigia mstari hiko kifungu cha Taifa stars, tumebugizwa saba sasa, tulimuachia Mungu naye katuacha na uzuzu wetu
 
Back
Top Bottom