Kwa sababu moja tu: Ujinga.
Sasa hapa wale 'wajinga' wasiojua maana ya 'ujinga' wanaweza wakakasirika na kudhani labda nimewatukana kwa kuwaita 'wajinga'.
Adui 'ujinga' bado hatujamshinda kabisa.
mkuu bora 'wajinga' ambao hawajui hata mlango wa darasa......
kuna hawa ambao wamepata hiki kinachoitwa 'elimu' ambacho kimewafanya kuwa 'wajinga' zaid ya wale wasiojua milango ya darasa!!
kadri miaka inavoenda ndivo idadi ya ' wajinga' inaongezeka!!
NB/: UJINGA- kuujua ukwel, kuufaham ukwel lakn bado unaamin uongo!!