Bora yako ww wala usiseme easy meeeen kuna watu wanatamani sana wawe weupe everyday bt haiwezekani wanaishia kuishi bila amani hii wala haina ya kuuliza ni mitizamo tu.Astaghfirulah.unakufuru ndugu weusi unanyima raha kivipi?.Mimi ni mweusi na sijawahi kosa raha hata siku moja sababu ya weusi wangu na nimeishi maeneo maeneo mengi yenye ubaguzi
Ni mtumwa wa fikra pekee anayeichukia rangi ya ngozi yake ama kutamani rangi ya ngozi ya watu wa asili nyengine.Bora yako ww wala usiseme easy meeeen kuna watu wanatamani sana wawe weupe everyday bt haiwezekani wanaishia kuishi bila amani hii wala haina ya kuuliza ni mitizamo tu.
SureNi mtumwa wa fikra pekee anayeichukia rangi ya ngozi yake ama kutamani rangi ya ngozi ya watu wa asili nyengine.
Ni mtumwa wa fikra pekee anayeichukia rangi ya ngozi yake ama kutamani rangi ya ngozi ya watu wa asili nyengine.
we mweusi niniUshamba tu
Mila zao tu wanamthamini mwanamke mweupeKwa hiyo nini tatizo la wasukuma kupenda vyeupe?
Mleta thread bila shaka umefirisika kimawazo(umewaza kishamba). Je, wanawake wangapi leo wanashinda saloon na maduka ya vipodozi ili kubadili rangi za ngozi zao??
Je, wanabadili ili wakaolewe usukumani kwa mahari ya ng'ombe wengi??
Nenda site ufanye utafiti kwanza ndio utuletee uzi wenye hoja zenye mashiko na si kutumia stori za vijiweni.
Tuambieni wasukuma kwa nini munapenda Ngomosi nyeupe???
Mila zao tu wanamthamini mwanamke mweupe
Hapo sasa!tupe mfano mmoja !
Halafu sasa hivi weusi umekua adimu[emoji3] watahonga wangapi?Ushamba tu
Hapo sasa!
Ndo hapoHalafu sasa hivi weusi umekua adimu[emoji3] watahonga wangapi?
Mie nina rangi ya chocolate. Sio mweusi kivile .we mweusi nini
Mie nina rangi ya chocolate. Sio mweusi kivile .
But napenda weusi