Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

Kwanini wasichana wakifika chuo wanajiona next level sana?

haaaaaaaa mzee umegusa kiukweli yule dem amekaa miaka minne hana kaz juz ananipiga mziga anataka kupanga nimchangie yaan anakujaga namla afu nishamdharau sana maana daa kipindi anaingia mzumbe alinidharau sana
. aisee maisha bhana laaaaaa
Hutakiwi kudharau mtu maishani,mambo yanabadilika
 
Hahaa...ntakukumbusha siku ulivyosema home mbezi

Then nimecheka nimekuona mahali humu unamuuliza baba kama kamuacha mama haha
Mmh me hiyo mbezi naisikiaga tu kwa friends zangu wanaoishi dar

Hahaha naona maza kamkana mzee live, ikabidi nishtuke kidogo teh
 
na ufirauni uliotukuka watoto wa chuo wanaongoza kutoa ndogo
Mtu anafanya ukahaba, uzinzi, umalaya na ufirauni uliotukuka halafu anakuja hapa bila chembe ya aibu na kutamba kuwa alikuwa na girlfriend au boyfriend chuo!!!..... Shame on you whom concerned!!
 
Mmh me hiyo mbezi naisikiaga tu kwa friends zangu wanaoishi dar

Hahaha naona maza kamkana mzee live, ikabidi nishtuke kidogo teh
Hahah poleee....

Ila kina Wayne,Bieber,Diamond,Oprah wote wamelelewa na single mothers na wewe utatoboa tu hah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom