Huwa unaona wapi mkuu?Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Wanajiangusha. Hakuna wanaoanguka mkuu. huwa ni maigizoJamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Wewe hujaangalia channel ya TB Joshua EMANUEL TV anapotembelea huko south Amerika, yani wazungu wanaanguka Mapepo sawa na mapera mabovuJamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Uko Mwenge, Magomeni au JamiiForums?Wanajiangusha. Hakuna wanaoanguka mkuu. huwa ni maigizo
wasabato tuna elimu ya kutosha kuhusu Mungu
Wazungu wengi wanaweza kuanguka wakati kutolewa pepo kama wengine wanapokutana na watumishi wa Mungu mwenye mamlaka ya kutoa pepo.Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Usiseme hivyo labda kama nawewe ni kigagula unajaribu kuficha msiumbukeWanajiangusha. Hakuna wanaoanguka mkuu. huwa ni maigizo
wasabato tuna elimu ya kutosha kuhusu Mungu
Uko Mwenge, Magomeni au JamiiForums[/US
[/QUOTE]
Nipo tarime central mkuu wangu
Mimi pia ni Msabato na unayosema ni kweli mkuu.. nina miaka mingi kwenye kanisa hili sijawahi kuona msabato anapandisha pepo, huwa naona wanaopagawa mapepo ni baadhi ya wageni wanaotutembelea kanisani na hupagawa pepo wakati mhubiri yuko mimbarani anahubiriJamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Mkuu wangu nakuambia hivi, vitu vingi tunavyofanya, tunavifanya kwa sababu hatuna elimu. Imagine mtu akuambie ukatambike kaburiniUsiseme hivyo labda kama nawewe ni kigagula unajaribu kuficha msiumbuke
Wasabato sio wanafiki mi nawapenda sana,nyeupe nyeupe,nyeusi nyeusi hata makanisani mwao uvaaji wao,mapambo yao ibada zao daaaah ni ibada kweli sio hao wasaniii wanaovaa misuruali,nguo nusu uchi watoto wa kike unafiki unafiki tu hlf wasabato na wazungu hawajui kuigiza sisi wengine ni waigizaji sana tupo kutafuta pesa zaidi tena bora sisi wakatoliki ,hao walokole ndio mashetani watupu wao na wachungaji wao,naishi nao jirani ni malaya,wachawi,wasengenyaji nk ila ibadani hawakosi,wakienda huko full kujiangushaJamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Huyo alikua jini makata,hakuna mzungu hapoKuna mzungu alikua na pepo, anapokuwepo kama ni ndani ya nyumba mabomba yote ya maji yanatoa maji. Hata myafunge vipi.
maji yanaacha kutoka kukiwa na sala.
Ni mpaka uwe unaelewa mkuu, wengi tumeishi maisha yakijijini mafua tu mtu anapewa mzizi ukija mjini ukahubiliwa injili ndiyo unajua kuna kumtegemea MUNGU pekeyake, watu walio mjini wakienda makwao hulaumiwa kuwa wameacha mila na desturi, wamisionari walitufungua sana waafrika, mpaka sahizi tungekuwa tunatambika tu na kurogana kweli !Mkuu wangu nakuambia hivi, vitu vingi tunavyofanya, tunavifanya kwa sababu hatuna elimu. Imagine mtu akuambie ukatambike kaburini
Pale unamtambikia shetani na wala siyo huyo marehemu au ibada ya wafu, nayo ni maigizo mengine. kama unaweza kufa na ukaombewa ukaepuka kwenda motoni kwa sababu ya hayo maombi, kwani ujisumbue kufanya maombi wakati ukiwa hai. Subiri ufe , utaombewa uende mahali pema peponi
Yote hayo ni maigizo kwa maslahi ya walioyatengeneza
Nikwambie sasa hao na waganga wakienda nikama bata na maji kwa taarifa yakoWasabato sio wanafiki mi nawapenda sana,nyeupe nyeupe,nyeusi nyeusi hata makanisani mwao uvaaji wao,mapambo yao ibada zao daaaah ni ibada kweli sio hao wasaniii wanaovaa misuruali,nguo nusu uchi watoto wa kike unafiki unafiki tu hlf wasabato na wazungu hawajui kuigiza sisi wengine ni waigizaji sana tupo kutafuta pesa zaidi tena bora sisi wakatoliki ,hao walokole ndio mashetani watupu wao na wachungaji wao,naishi nao jirani ni malaya,wachawi,wasengenyaji nk ila ibadani hawakosi,wakienda huko full kujiangusha