Kwanini Wasabato na Wazungu hawaanguki mapepo?

Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Huwa unaona wapi mkuu?
Emmanuel tv au arise and shine?
 
Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Wanajiangusha. Hakuna wanaoanguka mkuu. huwa ni maigizo
wasabato tuna elimu ya kutosha kuhusu Mungu
 
Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Wewe hujaangalia channel ya TB Joshua EMANUEL TV anapotembelea huko south Amerika, yani wazungu wanaanguka Mapepo sawa na mapera mabovu
 
Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Wazungu wengi wanaweza kuanguka wakati kutolewa pepo kama wengine wanapokutana na watumishi wa Mungu mwenye mamlaka ya kutoa pepo.

Tazama video hii wazungu wanaanguka katika maombezi wakiwa na pepo
 
Wazungu wasabato wote huwa wanaanguka sema ujawai kuhudhuria mara kwa mara tu kwenye makanisa yao.
 
Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.
Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?
Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Mimi pia ni Msabato na unayosema ni kweli mkuu.. nina miaka mingi kwenye kanisa hili sijawahi kuona msabato anapandisha pepo, huwa naona wanaopagawa mapepo ni baadhi ya wageni wanaotutembelea kanisani na hupagawa pepo wakati mhubiri yuko mimbarani anahubiri

Sababu.. kwa uzoefu wangu naamini mapepo huwa yanapandikizwa tu na hao wachungaji na manabii WATENDA MIUJIZA kwa waumini wao wakiamini kuwa ni njia ya kuwavuta watu kwenye makanisa yao, NI BIASHARA YA KIROHO. Unawajaza waumini mapepo kisha unayaombea yatoke upate "credit"

Kuna mzee flani enzi hizo Dodoma aliwapiga marufuku wanafamilia wake kuhudhuria mahubiri ya mchungaji flani maarufu baada ya binti yake kurudi toka mkutanoni na kuanza kupandisha mapepo wakati hakuwa nayo!!
 
Usiseme hivyo labda kama nawewe ni kigagula unajaribu kuficha msiumbuke
Mkuu wangu nakuambia hivi, vitu vingi tunavyofanya, tunavifanya kwa sababu hatuna elimu. Imagine mtu akuambie ukatambike kaburini
Pale unamtambikia shetani na wala siyo huyo marehemu au ibada ya wafu, nayo ni maigizo mengine. kama unaweza kufa na ukaombewa ukaepuka kwenda motoni kwa sababu ya hayo maombi, kwani ujisumbue kufanya maombi wakati ukiwa hai. Subiri ufe , utaombewa uende mahali pema peponi
Yote hayo ni maigizo kwa maslahi ya walioyatengeneza
 
Hakuna anaeanguka kwa mapepo ni katika harakati za kutaka mkono uende kinywani sasa tajiri ataitaji mkwanja mrefu iyo ndo sababu kwanini matajiri hawaanguki mapepo
 
Jamani sijawahi kuona Mzungu ua Msabato akianguka mapepo.

Kwanini wanao anguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo?

Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
Wasabato sio wanafiki mi nawapenda sana,nyeupe nyeupe,nyeusi nyeusi hata makanisani mwao uvaaji wao,mapambo yao ibada zao daaaah ni ibada kweli sio hao wasaniii wanaovaa misuruali,nguo nusu uchi watoto wa kike unafiki unafiki tu hlf wasabato na wazungu hawajui kuigiza sisi wengine ni waigizaji sana tupo kutafuta pesa zaidi tena bora sisi wakatoliki ,hao walokole ndio mashetani watupu wao na wachungaji wao,naishi nao jirani ni malaya,wachawi,wasengenyaji nk ila ibadani hawakosi,wakienda huko full kujiangusha
 
Mkuu wangu nakuambia hivi, vitu vingi tunavyofanya, tunavifanya kwa sababu hatuna elimu. Imagine mtu akuambie ukatambike kaburini
Pale unamtambikia shetani na wala siyo huyo marehemu au ibada ya wafu, nayo ni maigizo mengine. kama unaweza kufa na ukaombewa ukaepuka kwenda motoni kwa sababu ya hayo maombi, kwani ujisumbue kufanya maombi wakati ukiwa hai. Subiri ufe , utaombewa uende mahali pema peponi
Yote hayo ni maigizo kwa maslahi ya walioyatengeneza
Ni mpaka uwe unaelewa mkuu, wengi tumeishi maisha yakijijini mafua tu mtu anapewa mzizi ukija mjini ukahubiliwa injili ndiyo unajua kuna kumtegemea MUNGU pekeyake, watu walio mjini wakienda makwao hulaumiwa kuwa wameacha mila na desturi, wamisionari walitufungua sana waafrika, mpaka sahizi tungekuwa tunatambika tu na kurogana kweli !
 
Wasabato sio wanafiki mi nawapenda sana,nyeupe nyeupe,nyeusi nyeusi hata makanisani mwao uvaaji wao,mapambo yao ibada zao daaaah ni ibada kweli sio hao wasaniii wanaovaa misuruali,nguo nusu uchi watoto wa kike unafiki unafiki tu hlf wasabato na wazungu hawajui kuigiza sisi wengine ni waigizaji sana tupo kutafuta pesa zaidi tena bora sisi wakatoliki ,hao walokole ndio mashetani watupu wao na wachungaji wao,naishi nao jirani ni malaya,wachawi,wasengenyaji nk ila ibadani hawakosi,wakienda huko full kujiangusha
Nikwambie sasa hao na waganga wakienda nikama bata na maji kwa taarifa yako
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom