Kwanini Wasabato hawakemei dhambi za Uzinzi, Uongo, Unafiki, Ushirikina na Wizi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Hoja yangu:

Siyo rahisi kwenye mahubiri ya Wasabato iwe Kanisani au kwenye mikutano ya kidini kuona dhambi za Zinaa, Uongo, Unafiki, Wizi & Ushirikina, kukosa upendo n k zikikemewa kwa nguvu kubwa inayostahili.

Sijasema hawakemei dhambi hizo la hasha ila kamwe hawatilii mkazo dhambi hizo.

Sijui ni kwa sababu zipi lakini ndiyo ukweli na unaweza thibitisha Kwa kufuatilia mahubiri yao sehemu mbalimbali.

Mtafute Msabato yeyote hata leo mwambie mjadili madhara ya dhambi hizo, nakuhakikishia kama atakubali basi atazingumza Kwa muda usiozidi dakika 5 na baadaye ataanza habari za ubaya wa RC.

Utaniuliza sasa wanahubiri nini? Jibu ni kwamba 80% na kuendelea wanazungumzia Kuhusu ubaya wa Roman Catholic & Makanisa ya Waprotestants.

Karibuni tujadili

#Tahadhari:

Pinga hoja iliyowasilishwa kwa hoja na kamwe usitoe maneno ya kashfa dhidi ya Imani nyingine.

1.NYONGEZA SOMA WAGALATIA 5:19-26 ILI UJUE UZITO WA HOJA ILIYOPO MEZANI NA MATOKEO YAKE

"Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu"

2.HOJA HAISEMI WASABATO NI WAZINZI ILA HAWAKEMEI DHAMBI TAJWA KIKAMILIFU
 
Marko 9: 38-40

38 Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.

39Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;

40kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hoja yangu:

Siyo rahisi kwenye mahubiri ya Wasabato iwe Kanisani au kwenye mikutano ya kidini kuona dhambi za Zinaa, Uongo, Unafiki, Wizi & Ushirikina, kukosa upendo n k zikikemewa kwa nguvu kubwa inayostahili.

Sijasema hawakemei dhambi hizo la hasha ila kamwe hawatilii mkazo dhambi hizo.

Sijui ni kwa sababu zipi lakini ndiyo ukweli na unaweza thibitisha Kwa kufuatilia mahubiri yao sehemu mbalimbali.

Mtafute Msabato yeyote hata leo mwambie mjadili madhara ya dhambi hizo, nakuhakikishia kama atakubali basi atazingumza Kwa muda usiozidi dakika 5 na baadaye ataanza habari za ubaya wa RC.

Utaniuliza sasa wanahubiri nini? Jibu ni kwamba 80% na kuendelea wanazungumzia Kuhusu ubaya wa Roman Catholic & Makanisa ya Waprotestants.

Karibuni tujadili

#Tahadhari:

Pinga hoja iliyowasilishwa kwa hoja na kamwe usitoe maneno ya kashfa dhidi ya Imani nyingine.
Nyie mnokemea kwanini mnabaka vitoto vidogo tena vya kiume ?
 
Wazee wa
images%20(47).jpg
 
Kweli kabisa hawa wasabato hata sio wakristo kwani wapo bado kwenye sheria ya Mose.
 
Nawaheshimu na kuwakubali wasabato kuliko wakristo wote.

Kwanza si kweli kwamba hawakemei dhambi au awahubiri watu wasitende dhambi fulani fulani.

Wasabato wako strategic, wao wanafundisha bible, wanataka watu wao waelewe bible. Ndo maana wakikutana asubuhi wanaanza na mafundisho..wao huita lesson. Baada ya mafundisho ndo hufuata ibada/ Mahubiri.
 
Unaelewaje Biblia bila kuwafundisha watu kuacha dhambi?
 
Sidhani kama ni kweli wasabato hawakemei uzinzi
Na pia uzinzi hutakiwi kukemewa na wasabato pekee
Dhambi ya uzinzi inatakiwa kukemewa na kila dini, kila dhehebu, kila mtumishi, kila binadamu
Shida ni pale mkemeaji mwenyewe anapokuwa mzinzi kiongozi

Wadau hamjamboni nyote?

Hoja yangu:

Siyo rahisi kwenye mahubiri ya Wasabato iwe Kanisani au kwenye mikutano ya kidini kuona dhambi za Zinaa, Uongo, Unafiki, Wizi & Ushirikina, kukosa upendo n k zikikemewa kwa nguvu kubwa inayostahili.

Sijasema hawakemei dhambi hizo la hasha ila kamwe hawatilii mkazo dhambi hizo.

Sijui ni kwa sababu zipi lakini ndiyo ukweli na unaweza thibitisha Kwa kufuatilia mahubiri yao sehemu mbalimbali.

Mtafute Msabato yeyote hata leo mwambie mjadili madhara ya dhambi hizo, nakuhakikishia kama atakubali basi atazingumza Kwa muda usiozidi dakika 5 na baadaye ataanza habari za ubaya wa RC.

Utaniuliza sasa wanahubiri nini? Jibu ni kwamba 80% na kuendelea wanazungumzia Kuhusu ubaya wa Roman Catholic & Makanisa ya Waprotestants.

Karibuni tujadili

#Tahadhari:

Pinga hoja iliyowasilishwa kwa hoja na kamwe usitoe maneno ya kashfa dhidi ya Imani nyingine.

Kwahili unawasingizia,wasabato ndio kanisa ambalo linajitahidi sana kulinda misingi yake na moja ya kazi kuu ni kukemea dhambi,na kuupigania ukristo wa kweli
 
Marko 9: 38-40

38 Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.

39Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;

40kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu
naomba elezea mistari hii. ina ujumbe gani??
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hoja yangu:

Siyo rahisi kwenye mahubiri ya Wasabato iwe Kanisani au kwenye mikutano ya kidini kuona dhambi za Zinaa, Uongo, Unafiki, Wizi & Ushirikina, kukosa upendo n k zikikemewa kwa nguvu kubwa inayostahili.

Sijasema hawakemei dhambi hizo la hasha ila kamwe hawatilii mkazo dhambi hizo.

Sijui ni kwa sababu zipi lakini ndiyo ukweli na unaweza thibitisha Kwa kufuatilia mahubiri yao sehemu mbalimbali.

Mtafute Msabato yeyote hata leo mwambie mjadili madhara ya dhambi hizo, nakuhakikishia kama atakubali basi atazingumza Kwa muda usiozidi dakika 5 na baadaye ataanza habari za ubaya wa RC.

Utaniuliza sasa wanahubiri nini? Jibu ni kwamba 80% na kuendelea wanazungumzia Kuhusu ubaya wa Roman Catholic & Makanisa ya Waprotestants.

Karibuni tujadili

#Tahadhari:

Pinga hoja iliyowasilishwa kwa hoja na kamwe usitoe maneno ya kashfa dhidi ya Imani nyingine.
Wasabato once again.
 
Acha kuwasingizia wasabato katika Ukristo hakuna dhehebu linalo jitahidi kukemea maovu kama wasabato.

Bora ungewaongelea hawa vichwa maji wa kirokole, kwenye mahubili yao hakuna wanacho kihubili zaidi ya mahubili ya kutoa sadaka.
Warokole ndo wazinzi wakubwa ndani ya nchi hii.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hoja yangu:

Siyo rahisi kwenye mahubiri ya Wasabato iwe Kanisani au kwenye mikutano ya kidini kuona dhambi za Zinaa, Uongo, Unafiki, Wizi & Ushirikina, kukosa upendo n k zikikemewa kwa nguvu kubwa inayostahili.

Sijasema hawakemei dhambi hizo la hasha ila kamwe hawatilii mkazo dhambi hizo.

Sijui ni kwa sababu zipi lakini ndiyo ukweli na unaweza thibitisha Kwa kufuatilia mahubiri yao sehemu mbalimbali.

Mtafute Msabato yeyote hata leo mwambie mjadili madhara ya dhambi hizo, nakuhakikishia kama atakubali basi atazingumza Kwa muda usiozidi dakika 5 na baadaye ataanza habari za ubaya wa RC.

Utaniuliza sasa wanahubiri nini? Jibu ni kwamba 80% na kuendelea wanazungumzia Kuhusu ubaya wa Roman Catholic & Makanisa ya Waprotestants.

Karibuni tujadili

#Tahadhari:

Pinga hoja iliyowasilishwa kwa hoja na kamwe usitoe maneno ya kashfa dhidi ya Imani nyingine.
So, mna ugomvi na mgongano wa kimaslahi, au siyo?
 
Sidhani kama ni kweli wasabato hawakemei uzinzi
Na pia uzinzi hutakiwi kukemewa na wasabato pekee
Dhambi ya uzinzi inatakiwa kukemewa na kila dini, kila dhehebu, kila mtumishi, kila binadamu
Shida ni pale mkemeaji mwenyewe anapokuwa mzinzi kiongozi

View attachment 2511115
Huyu mchungaji kachanganyikiwa, hajui matukio ambayo wanawake wanawapiga waume zao, aache ushabiki maandazi, hapo anafanya gospel promo, anavutia wanawake kwani hicho ndicho wanataka kusikia
 
Back
Top Bottom