Wanawake wanaoanguka mapepo makanisani wengi ni watoto wa walalahoi!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Hali gani?

Sijawahi na sidhani kama nitawahi kushuhudia tajiri akianguka mapepo... siyo kwamba haiwezekani la, inawezekana.

Katika kupita pita kwangu kwote sijawahi kuona mwanamke kutoka royal/wealthy family akianguka mapepo.

Hapa nalenga kuwa, tabia za kipuuzi nyingi utazikuta kwa wanawake walalahoi yaani kwani roho chafu za KIMASIKINI hukamata zaidi vitongoji vya walalahoi na wanawake wake.

Tembela maeneo yote ya walalahoi DSM ndiyo utajua, wengi wanaoanguka kwa Mwamposa ukifuatilia wanatoka maeneo hayo.

Roho chafu na umasikini ni damu damu. Vijana wenzetu ambao hamjaoa, msioe wanawake walalahoi. Chonde! Ni ushauri tu lakini.

Hakuna cha bahati wala mipango ya Mungu, some issues zinategemeana na wewe mwenyewe. Usi violate kanuni ya asili. Wewe kama ni lofa oa lofa mwenzio usioe tajiri, UNLESS stated otherwise yaani kama una akili nyingi, kipaji nk!

Ukiutaka umasikini oa mlalahoi...!

Mtazaa mtoto mlalahoi naye atazaa walalahoi, break the chain na uache ubishi.
 
28b1e4f9-9509-420f-9247-02f7d8907187.jpg
 
Ushamaliza kila kitu.
Kabisa! Coca unajua nini? Kuna hii kitu, uki judge why natoa sadaka na zaka kanisani na sifanikiwi utaambiwa tengeneza ukaribu na Mungu, ukishtengeneza na ukaona mambo hayaeleweki watakuambia subiri wakati wa Mungu, sasa hapo ndiyo mpaka unaota mvi ukiwa unausubiri huo wakati wengi mno wameshachelewa masikini, wamezeeka na wamegundua mwishoni mno kuwa walidanganywa.
Wanajifunza in a hard way masikini. Na hakuna tena kurudisha miaka nyuma
 
Ukitaka kuwa maskini na chokambayaa kuwa mtiifu wa dini, utakufa apeche alolo, sitaki.kabisaaaa
 
Ukitaka kuwa maskini na chokambayaa kuwa mtiifu wa dini, utakufa apeche alolo, sitaki.kabisaaaa
Sasa angalia hao viongozi wa dini wanavyotanua... kila mwezi wanavuta hela ndefu. Kuna huyu mtu anaitwa askofu, huyu ndiyo usiombe anavuta mahela yote ya makanisa yaliyo chini yake... mpaka M50 anaweza kuvuta kwa mwezi.

Akili kichwani! Inauma mno unafika 45+ huko ndiyo unazinduka. Unakuwa ushachelewa! So sad
 
Back
Top Bottom