Kwanini wanyama hawali matunda?

Matunda na mboga VInachukua Muda mrefu kuwa digested? Ulisoma shule ya kata nini?
 
Kwahiyo nutrients za matunda na mboga mboga haziwafai?
 
Na kuna baadhi ya matunda kama parachichi yanaliwa na mbwa na paka bila shida
 
Fisi huwa anapenda matikiti sana
Umemsahau Master of all trades. Mbuzi katoliki anakula kila kitu kama wachina mpka mbao na matofali ya kuchoma, mkaa etc
 
Nina swali japo sio la msingi sana kwanini Kama matunda ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
Sababu mojawapo nafkiri ni "food - feed competition" vyakula vinavyoliwa na binadamu ni garama sana kuwalisha wanyama, hasa production animals

Mfano huwezi knunua ndizi tatu 500/- halaf ukampatia mbuzi, japo ukimpa anakula.

Hawa wanyama pia kuna vyakula vyao (vya hadhi yao) ambavyo wanapata virutubisho vyote wanavyohitaji, na vingine wame evolve mfumo wa kujitengenezea wenyewe, kwa namna ambayo sisi binadam hatuwezi. Mfano ngombe anaezakula majani mwaka mzima, na ktoka kwenye hayo majani akajitengengenezea virutubisho vingine pia.
Ila wewe jaribu kula mboga za majani pekeyake mwezi mmoja tu uone.


Kuna theory moja inadai kwamba apertite ya kula chakula fulani inatokana na uhitaji/upungufu wa mwili juu ya kirutubisho fulani kilicho kwenye hicho chakula.

Kwahio kama mbwa hali machungwa maanayake yeye ananamna yake ya kupata virutubisho ambavyo wewe mpenda machungwa anategemea kuvipata kwenye machungwa.
 
Hawa kina Mbwa na kina Paka hamna namna wanawezakudigest mbogamboga, ila tu wanaweza kuextract vitu vichache sana kama vile vitamins.

Nafikiri labda kwasababu hizo mbogamboga na matunda hua zinaongeza motility of GIT ( chakula kinatembea haraka kwenye utumbo), ndio maana hao carnivires wanaepuka kula hivyo vyakula kwa wingi kwa sababu vitapunguza ufanisi wa kufyonza chakula (efficiency of absorption), lengo libaki kupunguza GIT mortility, sababu utumbo ni mfupi ili absorption iwe maximum,
 
Wanyama wengi sana wana uwezo wa kutengeneza vitamins ndani ya miili yao bila kutegemea matunda au mbogamboga. Hata binadamu pia ana uwezo wa kutengeneza Vitamin D kwa kuota tu jua
 
.
Bado hujajibu swali lake mkuu. Jenga hoja kama alivyouliza swali lake mleta mada.

Ameuliza kwann wanyama hawali matunda? Kama nutirents za matunda Ni muhimu ktk mwili hao wanyama wanazitoa wapi hizo nutrients?

Au pia waweza geuza swali hilo hilo likawa hivi. Wanyama wasiokula nyama wanapataje nutrients muhimu za kwenye nyama??
 
Ndio wanyama Wengi me naona matunda hawali kama nyau SI hali nanasi Wala papai na mbona anahitaji nutrients zote
Usichokijua ni kama usiku wa giza.
Mbwa anakula matunda haya.
1. Matango.
2. Tikitimaji
3.papai
4. Mapera
5. Fenesi

Mbwa hali matunda yote ambayo yanauchachu na akila hataweza kung'ata chochote maisha yake yote.

1. Mchungwa
2.limao
3. Ukwaju
4. Nanasi
5. Etc

Usije ukakosea ukampa mbwa uji wenye ukwaju hapo utakuwa hauna mbwa kuanzia siku hiyo hatakuwa na uwezo wa kung'ata chochote.

Speaking from experience
 
Ng'ombe wanakula nyama ila ni ya binadamu .
Speaking from experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…