ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,048
- 61,370
Muhimu sana swali lakoNina swali japo sio la msingi Sana kwanini Kama matunda Ni muhimu kwa afya kwanini Sasa wanyama Wengi tunaowafuga hawapewi au hawali matunda kwa mfano wakina mbwa ukiwapa ndizi au machungwa hawali?
"Wakina mbwa"
???????
Mimi nimeshachukua tu hiyo Lugha uliyotumia...Ndio wanyama Wengi me naona matunda hawali kama nyau SI hali nanasi Wala papai na mbona anahitaji nutrients zote
Ulisoma biology dogo mpaka unaanza kutuletea story za wakina mbwa
Ilimu yako ni ya kiwango gani?
Nyau wangu anakula chochote nachokula Mimi,sijajua kwa wengine.Ndio wanyama Wengi me naona matunda hawali kama nyau SI hali nanasi Wala papai na mbona anahitaji nutrients zote
Ilimi yako mwenyewe ni kiwango Cha ilimiIlimu yako ni ya kiwango gani?
Mbwa anakula Hadi chakula Cha kawaida mbnAkina mbwa???!Wewe ulikimbia shule aisee!Kwani hujui kuwa kuna wanyama wameumbwa kwa ajili ya kula nyama tu na hata midomo yao na mpangilio wao wa meno upo hivyo na wengine kwa ajili ya kula majani tu?.Swali lako ni sawa na mtu aulize kuwa kwa nini Ng'ombe hali nyama!