Kwanini Wanawake wenye Mizigo hawatoboi?

Kwanini Wanawake wenye Mizigo hawatoboi?

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
641
Reaction score
1,265
Habari za Sikukuu! Niende kwenye maada, katika pita pita zangu nimegundua wanaume wengi wanapenda Wadada wenye Mizigo.

Tena wkt mwingine hata wakipita barabarani wanyabi wanashusha vioo Ili kuangalia Kwa uzuri.

Sasa najiuliza Kwa Nini mizigo Yako haiwafanyi watoboe kimaisha maana wengi mwishowe wanaangukia kuwa wauza Samaki na kuwa chakula Cha wavuvi.
 
Habari za Sikukuu! Niende kwenye maada, katika pita pita zangu nimegundua wanaume wengi wanapenda Wadada wenye Mizigo. Tena wkt mwingine hata wakipita barabarani wanyabi wanashusha vioo Ili kuangalia Kwa uzuri. Sasa najiuliza Kwa Nini mizigo Yako haiwafanyi watoboe kimaisha maana wengi mwishowe wanaangukia kuwa wauza Samaki na kuwa chakula Cha wavuvi.
Haya maisha ni mchaka mchaka, na huwezi kimbia ukiwa na mzigo. Pengine inawazidia uzito.
 
Unamaanisha huyu hajatoboa?
dss.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom