Kwanini wanawake wenye mafanikio wanajisikia sana?

Kwanini wanawake wenye mafanikio wanajisikia sana?

umesema mwanamke hawajiwezi? maskini wee pole.. nasjhindwa kuandika mengi nimekupa pole kwa mara ya pili
 
Kama ambavyo ubavu ulivyopinda ndivyo mwanamke alietokana na ubavu alivyopinda....na ukisema uunyooshe utavunjika...na ukisema uuache kama ulivyo utakusumbua sana.....ndio maana muumba akatuagiza kuwa tuishi nao kwa akili sana....
 
Baadhi.ya wanaume wakitka kukuvutia kamba wakiona wanashindwa hutuambia.tunadharau kumbe wengine wala.... wengine tuna aibu hatuwez salimu au kuchat na mtu every time...

Yani mwanaume unalalamika loh.. kufanikiwa ni kushikana mkono na kuvutana no matter what ni mwanaume au mwanamke .. we kalia kupiga domo utaisoma namba tu

Hahaha umeongea kwa uchungu yamekukuta poleeee
Sio wote ila halafu tabia ya mtu hujui mpaka apate hela so juwa hilo

Mwanamke ili afanikiwe ni juhudi zake tu ndizo zinazohitajika and nothing else....
Hakuna mwanaume anayeweza kumfanya mwanamke akaendelea. Kama ulimuhonga gari ni lako sio lake na kuita ni maendeleo ni sawa na wale wanaokaa barabarani usiku ili wale.
Kuwa so proud na maendeleo ambayo mwanamke ameyaleta mwenyewe ni vema ila kujiona usababishwa na ushamba wa ivo vitu.

umesema mwanamke hawajiwezi? maskini wee pole.. nasjhindwa kuandika mengi nimekupa pole kwa mara ya pili

Kwa vyovyote vile nilijua tu lazima wanawake mmshambulie mleta mada.. Haiwezekani mkakubaliana Na alichokilenga.. Hahaha
 
Kweli hasa sisi.vijana.ambao.channel hazija kaa sawa duu tunaumizwaa kiukweli yaani tunaonekana kama kinyaa kwao
 
Nilikuwa nasubiri kwa hamu comment yako kwny mada hii we mtoto...kwani amekalia kupiga domo au kasema ukweli? Labda Kama wewe huringi ringi

Wenzio wakishakuwa na Vitz kinachofuata ni miwani kubwa kama wale mabwana shamba wa zamani,Vimini na ufunguo umening'inia mkononi bila kusahau smartphone yake mkono mwingine masaa 24.

Halafu route za kwenda kwenye ATM,bank na supermarkets haziishi hata kama ana buku ya vocha kwny pochi,na akikuona njiani ni kujifanya hajakuona kabisa.

Mwanamke huyo-huyo akikushobokea utamuita malaya.
Mimi ninapoishi mtu kama hakujui hakusalimii kwasababu hamjuani.
 
Kweli wanawake ni shidaaah hasa wakipata kipato tosha.Kwa ni wepesi kusahau watu waliowasaidia.Akipata kama mlikuwa na mahusiano basi akili zao waliowengi ni kuona mahusiano yanaishia hapo.Namjua mwanamke mmoja mmewe ndo aliyemwendeleza kusoma baada ya mtoto wa kwanza lakini alipomaliza masomo na kupata kazi ya maana .Hakukumbuka mema ya mmewe akaanza kuhusiana na mabosi kazini na heshima ndani ikawa hakuna na mme mambo yalipoharibika ndo akisemwa kidogo anakuja juu.Anaomba taraka mpaka alitengana naye.
 
John Ezekiel pole sana inaelekea umetoka kwenye familia ambayo mama na dada zako walikuwa wanategemea wanaume na hawajishughulishi na kitu chochote kile kiuchumi. Ungekuwa umetoka familia ya mama mchakarikaji sana na mnaona anavyowahangaikia usingetoa hii mada. Usopende kufuatilia mambo ya watu utaumia sana maana kila mtu anabackground yake na hujui mali zake kazipataje cha muhinu tafuta zako na tafuta mtu mnaendana nae kitabia hao wenye kuringa na magari sidhani kama wanakuhusu hata walinunuliwana na nani maana ukkiona mtt wa kiume anaanza kuonea wivu wanawake ati wanapata magari kwa ajili ya urembo ni kosa kubwa inamaana unawish na wewe ungekuwa mwanamke ili uuze urembo ufanikiwe. Pigana kiume mambo madogo ignore them. Unless kama umepigwa kibuti. Pole sana
 
Last edited by a moderator:
John Ezekiel pole sana inaelekea umetoka kwenye familia ambayo mama na dada zako walikuwa wanategemea wanaume na hawajishughulishi na kitu chochote kile kiuchumi. Ungekuwa umetoka familia ya mama mchakarikaji sana na mnaona anavyowahangaikia usingetoa hii mada. Usopende kufuatilia mambo ya watu utaumia sana maana kila mtu anabackground yake na hujui mali zake kazipataje cha muhinu tafuta zako na tafuta mtu mnaendana nae kitabia hao wenye kuringa na magari sidhani kama wanakuhusu hata walinunuliwana na nani maana ukkiona mtt wa kiume anaanza kuonea wivu wanawake ati wanapata magari kwa ajili ya urembo ni kosa kubwa inamaana unawish na wewe ungekuwa mwanamke ili uuze urembo ufanikiwe. Pigana kiume mambo madogo ignore them. Unless kama umepigwa kibuti. Pole sana
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke huyo-huyo akikushobokea utamuita malaya.
Mimi ninapoishi mtu kama hakujui hakusalimii kwasababu hamjuani.

Sio lazima anishobokee ila ni ajabu mtu mnafahamiana kabisa na labda mlisoma naye na mlikuwa karibu leo hii amefanikiwa zaidi yako anakupita kama hakujui au anaangalia pembeni,hiyo nayo utasemaje? au ilimradi unawatetea tu.
 
Hii ni tabia ya mtu. Kuna ambao hata wawe masikini vipi lazima akuletee nyodo na maringo.

Unampa kila kitu anachohitaji yeye lakini ataleta maringo tu.
 
Back
Top Bottom