Kwanini wanawake wenye mafanikio wanajisikia sana?

Kwanini wanawake wenye mafanikio wanajisikia sana?

Hii ni tabia ya mtu. Kuna ambao hata wawe masikini vipi lazima akuletee nyodo na maringo.

Unampa kila kitu anachohitaji yeye lakini ataleta maringo tu.

hao ndio wale utasikia watu wanauliza 'hivi yule anaringia nini'?
 
Piga Mzigo mpaka kieleweke kiongozi, Piga job mpaka dola ziwe Business kadi zako, Watanyooka tuu...Kwa sababu sometimes Inferiority Complex inasumbua watu ambao hawajafanikiwa kutengeneza magape, unaweza ukaonekana unaringa hata kama huringi ni kwa vile tu umefanikiwa, So kama vipi Chapa kazi, Kusanya Dollars mpaka kieleweke,
usiendekeze wanawake....Mtume Paulo anasema ni heri kuoa kuliko kuwaka tamaa, kama huwezi kukaa bila mke....so kusanya dollar, unajua ukiwa Busy ya watu hata hutayaona, utayasikia ktk gazeti tu.
 
Nashangaa sana, sawa amesoma, kazi nzuri, gari ya kutembelea but why brag about it? why showing off? Huu ni udhaifu mkubwa ulionipelekea kuelewa kuwa mwanamke hasa wa karne hii anajitahidi kutaka kulingana na mwanaume. Tena afadhali mwenye mali za kutafuta mwenyewe ukute yule ambaye vyote ni vya kupewa.

Iwe ni mtaji wa biashara, gari au fedha za kuendesha maisha yake hapa mjini kwa tiketi ya urembo wake maana wanatumika sana hawa, basi utawaona hata wakiwa kwenye gari zao, jicho la dharau na kujIsikia! Why? Kwanini msirelax kama wanaume nina mali, nina gari, lakini najali mambo yangu, When I look at people I don't shout in my eyes "hey! look i have it made, you?"

Ni wazi kuwa mafanikio au nguvu ya kichumi ya wanawake wengi ni kwa sababu ya kick za wanaune, hawa viumbe peke yao hawajiwezi hivyo usimdharau mwanaume anayesukuma mkokoteni barabarani na kumwagia maji kwa tairi ya gari lako, he is in the winning race men race, feminism is weak. Kubali fact.

Kwahiyo ningeomba muendelee na harakati za kusaka haki sawa magazetini, lakini in the real world the nature define kuwa sisi ni vichwa na ni jukumu la kila mwanaume kuhudumia mwanamke wake japo uwezo wa kuhudumia unatofautiana hivyo usimdharau anayehudumia kidogo au asiyekuhudmia kwasababu either anahudumia mwingine serving you is our pride.

Ova
Ni bora umewaambia ukweli, maana khaaaaa!
Ndo maana hata Biblia ilikuwa haiwatambua wakati wa sensa.
Kwenye Biblia ukisikia sensa inasema kulikuwa na watu 153, ujue hao ni mwanaume watupu, wanawake walikuwa hawahesabiwi. Hayo sio mamneno yangu ni maneno ya Biblia, Na ukienda kwenye Quran, huko ndo shida hawatambuliwi hata kidogo. Sasa sijafahamu jeuri wanaitoa wapi hawa ambao hata MUNGU hakuwaumba. Aliyeumbwa na MUNGU ni mwanaume, ndo maana MUNGU akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu ambaye ni Adamu sasa dume la mbegu.
 
kwa hiyo wao wanawake walizaliwa?
 
Cha msingi ni kufanya kazi kwa bidii na kutafuta mwenzi wako ambaye anaendana na tabia zako....Maringo ama dharau ni tabia ya mtu awe masikini au tajiri....
 
Aisee!!! mafanikio ya mwanamke yamechangiwa na mwanaume??? mmmh!!! kauli za kushindwa hzi.

kwakweli wanaume wa sasa sijui kama mnajitambua
 
hahaaaaaa pole kijana ila sio wote ndugu ....
 
Back
Top Bottom