Baada ya kujitathmini nimegundua kuwa siko smart wala romantic, nipo nipo tuUkituwekea results za tathmini yako itapendeza.

Atleast umeandika pointWewe mkuu haumo kabisa ktk group hilo
Lbd kama unatoa tangazo tu
Hili jukwaa wanachunguliaga tu na kusepa
Ila vinanihii ndo vipenzi vya huku
Samahani lkn
Teh
Demiss labda ww uko medium otherwise ni walewale tuuYan hao wanawake ndo mm kabisaaaa







Demiss labda ww uko medium otherwise ni walewale tuu![]()







sawa ni uamuzi wakoooThats why nikishaona hizo trait huwa nakwepa mapema coz i know mbeleni mambo yatakuwa magum.Halafu wanawake wa style hii, usiombe akushtukie umechepuka. Aisee atakuchukia milele. Kusamehewa sahau.
Na kma ndo mmepanda tu kitandani, au akakwambia "WE NEED TO TALK", na labda jana yke tu ulizingua kitu, daaah, utatamani ujikojolee. Wanapenda uwe straight to the point, na hata ukiadmit kosa bado atakomaa tu. Yan haelewi kwann ukosee.
Wakishajijua kwmb sehemu fulan WANA HAKI, au kitu fulan ni HAKI YAO, hata kma sio, atakomaa mpk utajjuta. KUBISHANA NA MUME WAKE ITS NOT AN ISSUE KABISA YAN.
Tell more man. Whats going on kwa huyo aliye romantic now?Hii shida ilnifanya niache mchumba alyesmart na kufata alyeromantic. Leo najuta yalyonikuta
Ss tukuweke kwenye kundi gan? ,kule ww ni chamdeko huku gangstar tukuelewe vp au kule unajaribu kupretend kwa mzee baba MshanaMungu Hakupi Vyote
Kuna wanawake hawabadiliki hata kwa mafunzo au uvumilivu. Ukiwa na mwanamke wa hivyo maana yake hukujipanga na labda mapenzi yenu yalikuwa ya juu juu tu. Sasa upo ndani ya ndoa unagundua mengi na kushindwa kufanya maamuzi.walishafundishwa toka awali na wakawa waaminifu kuwa mapenzi hayana maana katika maisha na wakati mwingine hupoteza dira na mipango ya mbele.
hivyo akili yao ilishazoea na kuamini hivyo. wengi wa hawa wanawake sio mazinzi kabisa kwa kweli ni waaminifu sana tatizo tu wanakabiliwa na changamoto ya wanaume mazinzi wasio tulia ambao hawako tayari kuwaeleza wanataka nini kwa wapenzi wao na wao wajifunze huitaji wao matokeo yao wanaamua kutafuta wanawake wengine.
Kuna mmoja nilimpa mimba akiwa form five akakatisha masomo ili ajifungue baada ya kujifungua aliendelea na masomo na sasa yupo mwaka pili UD na mtoto wetu ana mitatu
cha ajabu toka nimempa mimba hatukuwai kusex hadi hii leo na anaishi kwa na tunawasiliana fresh tu ......wanawake wa dizain hii inataka moyo kua nao
Hapana mwanzo kutokana na situation za mimba akiwa dent nlijiweka pembeni kidogo ila nw yupo busy na masomo na dini tu kila ukigusia anasisitiza mpaka amalize masomoWewe ndo hukutaka kuliendeleza mkuu
Kuna mdada mmoja ni medical doctor kichwa kinoma,aliolewa akiwa bikra kabisa sasa kwenye ndoa Mume wake alizaa na beki 3,yule Dada mpaka Leo amegoma kumsamehe mumewe na alivyojeuri aliwaachia Nyumba akaanza maisha Yake na wanawe ,Mungu amemsaidia amejenga ghorofa mbweni Mara baada ya kuachana na Mume wake,yaani wanawake bright ukicheat hakusamei mileleHalafu wanawake wa style hii, usiombe akushtukie umechepuka. Aisee atakuchukia milele. Kusamehewa sahau.
Na kma ndo mmepanda tu kitandani, au akakwambia "WE NEED TO TALK", na labda jana yke tu ulizingua kitu, daaah, utatamani ujikojolee. Wanapenda uwe straight to the point, na hata ukiadmit kosa bado atakomaa tu. Yan haelewi kwann ukosee.
Wakishajijua kwmb sehemu fulan WANA HAKI, au kitu fulan ni HAKI YAO, hata kma sio, atakomaa mpk utajjuta. KUBISHANA NA MUME WAKE ITS NOT AN ISSUE KABISA YAN.
Hapana mwanzo kutokana na situation za mimba akiwa dent nlijiweka pembeni kidogo ila nw yupo busy na masomo na dini tu kila ukigusia anasisitiza mpaka amalize masomo
Huyo anaogopa asije akaidaka ingine .......angekuwa hataki kweli msingekuwa na mawasiliano ,hapo ni wewe unatakiwa kumbrainwash kidogo aondoe anachokiwaza atakubali tuuu
Sometime a girl anataka kuwa pushed wewe ndo unamaamuz ya do’s na don’t na sio kusikiliza kila anachokwambia .....mpe maneno ikishindikana mwambie amlete mtoto umuone au mtoke out na mtoto lazima aingie king siku ingine atajileta mwenyew .
. We mwanamke nimekupenda ghafla. Trick zako tamu sn. We inaelekea ndo walewale romantic, sio smart hata kdg.