Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Mkuu unaelewa maana ya neno wengi[emoji15] [emoji15] [emoji15]Siyo kweli. Wapo wanawake smart na watundu pia.
Mkuu unaelewa maana ya neno wengi[emoji15] [emoji15] [emoji15]Siyo kweli. Wapo wanawake smart na watundu pia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniwahi nilitaka nimtag nikaogopa[i][b]Nalendwa[/b][/i] hii ni kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu smart lazima kila kitu ajiulize 'why '. Hata akipata genye atajiuliza why? Ukimbusu atajiuliza why? Ndio maaa utakuta wee uko busy balaa...kumbe mwenzako anajiuliza why. Watu smart hawalegei hovyohovyo. Ukikuta mtu analegea hovyohovyo eti yuko romantic, chunguza vyeti vyake. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hiyo kitu hainaga vyeti aiseeMtu smart lazima kila kitu ajiulize 'why '. Hata akipata genye atajiuliza why? Ukimbusu atajiuliza why? Ndio maaa utakuta wee uko busy balaa...kumbe mwenzako anajiuliza why. Watu smart hawalegei hovyohovyo. Ukikuta mtu analegea hovyohovyo eti yuko romantic, chunguza vyeti vyake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatutaki KILA KITU. Ila mwanaume hata aweje, lazima atoshelezwe kimapenzi. Ukiwa smart sn atakukubali jst by being smart, ila sio kufurahishwa sana nawe ktk issues zisizohitaji smartness yakoWanaume bwana sasa mnataka mpate kila kitu. Kuna wadada natamani kuwatag hapa [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hiyo kitu hainaga vyeti aisee
Kweli kabisa kwani mwanaume hapaswi kuwa romantic??You can’t get all in one package ..... kikubwa ni kuvumiliana weakness za kila mmoja!!! Mbona hata nyie kuna mianaume ipo kama roboti.....
MhYan hao wanawake ndo mm kabisaaaa
Mforwardie hiyo postMbona kama unamuongelea huyu niliyenaye!?
Wamesema smart yaani smartphone kichwaniYan hao wanawake ndo mm kabisaaaa
Nlizani niko peke anguYan hao wanawake ndo mm kabisaaaa